Mkoa wa Unguja Mjini Magharibi
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja ni kati ya mikoa 26 za Tanzania. Mikoa mitatu kati yao iko Unguja kisiwani.
Mkoa huu una wilaya mbili ndizo mjini yaani Jiji la Zanzibar na Unguja Magharibi.
Idadi ya wakazi ni 390,074; mjini wako 205,870 na Unguja Magharibi 184,204 (sensa ya 2002)[1].
[hariri] Marejeo
|
|
|
|---|---|
| Arusha | Dar es Salaam | Dodoma | Geita | Iringa | Kagera | Katavi | Kigoma | Kilimanjaro | Lindi | Manyara | Mara | Mbeya | Morogoro | Mtwara | Mwanza | Njombe | Pemba Kaskazini | Pemba Kusini | Pwani | Rukwa | Ruvuma | Shinyanga | Simiyu | Singida | Tabora | Tanga | Unguja Kaskazini | Unguja Kusini | Unguja Mjini Magharibi | |
| Makala hii kuhusu maeneo ya Unguja bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Unguja Mjini Magharibi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |