Wilaya ya Chato

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Wilaya ya Chato ni wilaya mojawapo ya Mkoa wa Geita. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 251,261 [1] na imekadiriwa kuwa na 318,000 kwa mwaka 2007.

Wilaya hii ilianzishwa mwaka 2007 kutokana na maeneo ya wilaya ya Biharamulo, mkoa wa Kagera, halafu mwaka 2012 ikasogezwa katika mkoa mpya wa Geita.

Marejeo [hariri]

Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Geita bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Chato - Mkoa wa Kagera - Tanzania
Flag of Tanzania.svg

Wilaya hii ilitengwa mwaka 2007 na maeneo ya Wilaya ya Biharamulo.
Ukijua ni kata zipi zilizopelekwa Chato saidia kuhariri kigezo hiki kwa kubonyeza "hariri" na kuandika majina ya kata.
Baadaye unaweza kufuta majina yale kwenye Kigezo:Kata za Wilaya ya Biharamulo.