Majimbo ya Ethiopia
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Majimbo ya Ethiopia ni vitengo vikuu vya kujitawala chini ya ngazi ya kitaifa katika muundo wa shirikisho la Ethiopia.
Kuma majimbo 9 (kililoch; umoja: kilil) yanayogawiwa kwenye msingi wa lugha kuu zinazojadiliwa katika jimbo pamoja na majiji 2 yenye hadhi ya jimbo (astedader akababiwach, umoja: astedader akabibi) ambayo ni Addis Ababa na Dire Dawa.
Hii ni orodha ya Majimbo (kililoch; singular – kilil) ya Ethiopia:
Orodha [hariri]
| Ramani | A-Z | Jimbo | Mji mkuu | Eneo (km²) | Wakazi (2005) | Lugha kuu za jimbo | |
|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 1 | Addis Abeba | Addis Abeba | 530 | 3.627.934 | -- | ||
| 2 | Afar | Asayita | 96.707 | 1.389.004 | Kiafar | ||
| 3 | Amhara | Bahir Dar | 159.174 | 19.120.005 | Kiamhara | ||
| 4 | Benishangul-Gumuz | Asosa | 49.289 | align=center | Berta, Gumuz | ||
| 5 | Dire Dawa | Dire Dawa | 1.213 | 398.934 | Kioromo, Kiamhara, Kisomali | ||
| 6 | Gambela | Gambela | 25.802 | 247.000 | Nuer, Anuak | ||
| 7 | Harari | Harar | 374 | 196.000 | Aderi; Oromo, Somali | ||
| 8 | Oromia | Adama | 353.362 | 25.125.000 | Oromo | ||
| 9 | Somali | Jijiga | 279.252 | 4.329.000 | Kisomali | ||
| 10 | Mataifa ya Kusini | Awasa | 112.343 | 14.901.990 | Sidama, Wolaytta, Hadiyya, Gurage na vingine | ||
| 11 | Tigray | Mekele | 50.078 | 4.334.996 | Kitigray |
Tazama pia [hariri]
|
|
|
|---|---|
| Addis Abeba | Afar | Amhara | Benishangul-Gumuz | Dire Dawa | Gambela | Harar | Oromia | Somali | Mataifa ya Kusini | Tigray | |