Mikoa ya Msumbiji
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Msumbiji imegawanyika katika mikoa 11:
Orodha [hariri]
- Mkoa wa Cabo Delgado
- Mkoa wa Gaza
- Mkoa wa Inhambane
- Mkoa wa Manica
- Mkoa wa Maputo Mjini
- Mkoa wa Maputo
- Mkoa wa Nampula
- Mkoa wa Niassa
- Mkoa wa Sofala
- Mkoa wa Tete
- Mkoa wa Zambezia
| Makala hii kuhusu maeneo ya Msumbiji bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mikoa ya Msumbiji kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
