Mikoa ya Guinea ya Ikweta

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mikoa ya Guinea ya Ikweta inapatikana kwenye kanda mbili za nchi hiyo.

Mikoa mitatu ni sehemu za Kanda la Visiwa (Región Insular) linaloundwa na visiwa vya Bioko na Annobon.

Mikoa mitano ni sehemu za Kanda la Rio Muni ambayo ni eneo la bara, pamoja na visiwa vidogo vilivyopo karibu na pwani.

Mkoa Maelezo Nchi Kanda Majiranukta Picha Ramani
Mkoa wa Bioko Sur Guinea ya Ikweta Kanda la Visiwa Q3040071 3°26′N 8°38′E / 3.44°N 8.64°E / 3.44; 8.64
Mkoa wa Bioko Norte Guinea ya Ikweta Kanda la Visiwa Q3040071 3°41′N 8°47′E / 3.68°N 8.78°E / 3.68; 8.78
Mkoa wa Annobón Guinea ya Ikweta Kanda la Visiwa Q3040071 1°25′00″S 5°38′00″E / 1.4166666666667°S 5.6333333333333°E / -1.4166666666667; 5.6333333333333
1°25′45″S 5°37′15″E / 1.42917°S 5.62083°E / -1.42917; 5.62083
Mkoa wa Litoral Guinea ya Ikweta Kanda la Rio Muni Q845368 1°34′29″N 9°48′45″E / 1.57474°N 9.812494°E / 1.57474; 9.812494
Mkoa wa Centro Sur Guinea ya Ikweta Kanda la Rio Muni Q845368 1°33′N 10°17′E / 1.55°N 10.29°E / 1.55; 10.29
Mkoa wa Kié-Ntem Guinea ya Ikweta Kanda la Rio Muni Q845368 2°N 11°E / 2°N 11°E / 2; 11
Mkoa wa Wele-Nzas Guinea ya Ikweta Kanda la Rio Muni Q845368 1°30′N 11°00′E / 1.5°N 11°E / 1.5; 11
Mkoa wa Djibloho Guinea ya Ikweta Kanda la Rio Muni Q845368