Orodha ya Marais wa Tanzania
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Tanzania |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
|
|
|
Other countries · Atlas Politics portal |
Makala hii inaonyesha orodha ya marais wa Tanzania.
[hariri] Marais wa Tanzania, 1964-hadi sasa
| Jina | Amechukua Ofisi | Ameondoka Ofisini | Chama |
| Julius Nyerere | 29 Oktoba 1964 | 5 Novemba 1985 | TANU, 1977 CCM |
| Ali Hassan Mwinyi | 5 Novemba 1985 | 23 Novemba 1995 | CCM |
| Benjamin Mkapa | 23 Novemba 1995 | 21 Deaemba 2005 | CCM |
| Jakaya Kikwete | 21 Desemba 2005 | wa sasa | CCM |
[hariri] Ushirika wa Kisiasa
- CCM - Chama Cha Mapinduzi
- TANU - Tanganyika African National Union