Orodha ya Mawaziri Wakuu wa Tanzania
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Tanzania |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
|
|
|
Nchi zingine · Atlasi |
Makala hii inaonyesha orodha ya mawaziri wakuu wa Tanzania.
Yaliyomo |
[hariri] Orodha ya Viongozi wa Serikali ya Tanzania
| Waziri Kiongozi wa Tanganyika | |||
| Jina | Amechukua Ofisi | Ameondoka Ofisini | Chama |
| Julius Kambarage Nyerere | 2 Septemba 1960 | 1 Mei 1961 | TANU |
| Mawaziri Wakuu wa Tanganyika | |||
| Julius Kambarage Nyerere | 1 Mei 1961 | 22 Januari 1962 | TANU |
| Rashidi Kawawa | 22 Januari 1962 | 9 Desemba 1962 | TANU |
| Nafasi Zilizoondolewa Tangu (9 Desemba 1962-17 Februari 1972) | |||
| Mawaziri Wakuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania | |||
| Rashidi Kawawa | 17 Februari 1972 | 13 Februari 1977 | TANU |
| Edward Moringe Sokoine | 13 Februari 1977 | 7 Novemba 1980 | CCM |
| Cleopa David Msuya | 7 Novemba 1980 | 24 Februari 1983 | CCM |
| Edward Moringe Sokoine | 24 Februari 1983 | 12 Aprili 1984 | CCM |
| Salim Ahmed Salim | 24 Aprili 1984 | 5 Novemba 1985 | CCM |
| Joseph Sinde Warioba | 5 Novemba 1985 | 9 Novemba 1990 | CCM |
| John Malecela | 9 Novemba 1990 | 7 Desemba 1994 | CCM |
| Cleopa David Msuya | 7 Desemba 1994 | 28 Novemba 1995 | CCM |
| Frederick Sumaye | 28 Novemba 1995 | 30 Desemba 2005 | CCM |
| Edward Ngoyai Lowassa | 30 Desemba 2005 | 7 Februari 2008 | CCM |
| Mizengo Pinda | 9 Februari 2008 | CCM | |
[hariri] Ushirika wa Kisiasa
- CCM - Chama Cha Mapinduzi
- TANU - Tanganyika African National Union
[hariri] Viungo vya nje
[hariri] Tazama pia
- Orodha ya viongozi
- Orodha ya Marais wa Tanzania
- Orodha ya Mawaziri Wakuu wa Zanzibar
- Orodha ya Magavana Wakuu wa Tanganyika
- Orodha ya Marais wa Tanganyika
- Orodha ya Masultan wa Zanzibar
|
||||||||||||||||||||||||||