Njombe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Njombe
Njombe is located in Tanzania
Njombe
Njombe
Mahali pa Njombe katika Tanzania
Anwani ya kijiografia: 9°15′00″S 35°00′00″E / 9.25°S 35°E / -9.25; 35
Nchi Tanzania
Mkoa Iringa
Wilaya Njombe
Idadi ya wakazi
 - Mji 42,332

Njombe ni mji ambao ni makao makuu ya Mkoa wa Njombe, Tanzania na ya wilaya mbili zenye jina hilohilo (ya mjini na ya vijijini).

Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka 2002, mji ulikuwa na wakazi wapatao 42,332 waishio humo. [1]

Marejeo [hariri]

  1. 2002 Population and Housing Census General Report (en). Government of Tanzania. Rudishwa juu ya 2008-08-21.
Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Njombe - Mkoa wa Iringa - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Idamba | Igongolo | Igosi | Ikondo | Ikuka | Ilembula | Imalinyi | Iwungilo | Kidegembye | Kifanya | Luduga | Lupembe | Luponde | Mahongole | Makambako | Matola | Mdandu | Mtwango | Njombe Mjini | Saja | Usuka | Uwemba | Wangama | Wanging'ombe | Yakobi


Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Iringa bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Njombe kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.