30 Januari
Mandhari
(Elekezwa kutoka Januari 30)
Des - Januari - Feb | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 30 Januari ni siku ya thelathini ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 335 (336 katika miaka mirefu).
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 1592 - Uchaguzi wa Papa Klementi VIII
- 1933 - Adolf Hitler anateuliwa kuwa Chansella wa Ujerumani
- 1948 - Mahatma Gandhi anauawa na Mhindu mwenye itikadi kali anayechukia jitihada za Ghandi za kutunza umoja wa Uhindi na kutetea haki za Wahindi Waislamu
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1846 - Mtakatifu Anjela wa Msalaba, bikira kutoka Hispania
- 1882 - Franklin D. Roosevelt, Rais wa Marekani (1933-1945)
- 1899 - Max Theiler, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1951
- 1912 - Horst Matthai Quelle, mwanafalsafa kutoka Ujerumani
- 1929 - Isamu Akasaki, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 2013
- 1941 - Dick Cheney, Kaimu Rais wa Marekani
- 1949 - Peter Agre, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2003
- 1961 - Liu Gang, mwanasayansi Mmarekani kutoka Uchina
- 1966 - Andrey Skoch, Naibu wa Jimbo la Duma la Shirikisho la Urusi, mfadhili
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1181 - Takakura, mfalme mkuu wa Japani (1168-1180)
- 1640 - Mtakatifu Yasinta Marescotti, bikira wa Utawa wa Tatu wa Mt. Fransisko kutoka Italia
- 1867 - Komei, Mfalme Mkuu wa 121 wa Japani (1846-1867)
- 1928 - Johannes Fibiger, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1926
- 1948 - Mahatma Gandhi, mwanasheria, mwanafalsafa na kiongozi wa kisiasa nchini Uhindi
- 1969 - Padre Dominique Pire, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1958
- 1991 - John Bardeen, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia miaka ya 1956 na 1972
- 2009 - Chedieli Yohane Mgonja, mwanasiasa wa Tanzania
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Matia wa Yerusalemu, Barsimeo wa Edessa, Martina wa Roma, Batilde, Aldegunda, Armentari, Theofilo Kijana, Adelelmo, Yasinta Marescotti, Paulo Ho Hyob, Thomas Khuong, Daudi Galvan, Musiani Maria n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 30 Januari kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |