Dick Cheney

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Dick Cheney, Kaimu Rais wa Marekani

Richard Bruce "Dick" Cheney (amezaliwa 30 Januari 1941) ni mwanasiasa wa Marekani. Alikuwa Kaimu Rais wa Marekani chini ya Rais George W. Bush kuanzia mwaka wa 2001 hadi 2009.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dick Cheney kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.