Nenda kwa yaliyomo

Blood on the Dance Floor: HIStory in the Mix

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Makala hii inataja albamu. Kwa makala ya wimbo, tafadhali nenda kwa Blood on the Dance Floor (wimbo)
Blood on the Dance Floor: HIStory in the Mix
Blood on the Dance Floor: HIStory in the Mix Cover
Remix album / studio album ya Michael Jackson
Imetolewa 20 Mei 1997
Imerekodiwa 1995–1997
Aina Industrial, Funk,[1] New jack swing [2]
Urefu 75:57
Lebo Epic
EK-68000
Mtayarishaji Michael Jackson, Teddy Riley, Jimmy Jam na Terry Lewis, Dallas Austin, Bill Bottrell, David Foster, Janet Jackson, R. Kelly
Tahakiki za kitaalamu
Wendo wa albamu za Michael Jackson
HIStory
(1995)
Blood on the Dance Floor: HIStory in the Mix
(1997)
Invincible
(2001)
Single za kutoka katika albamu ya Blood on the Dance Floor: HIStory in the Mix
  1. "Blood on the Dance Floor"
  2. "HIStory/Ghosts"


Blood on the Dance Floor: HIStory in the Mix ni remix albamu iliyotolewa mnamo mwaka wa 1997 na Michael Jackson. Albamu imetengeneza maremixi kadhaa kutoka katika albamu yake iliyopita ya HIStory, na nyimbo zingine tano ambazo ni mpya. Jackson alijikita hasa katika kuleta mpya wakati zile remixi zingine zilikuwa zikitayarishwa na wasanii wengine. Ladha mpya ni pamoja na ule wimbo wa kuhusu utumiaji wa madawa ya kulevya na ule wa mwanamke mtiya hofu.

Albamu imepata promosheni ndogo sana kwa viwango vya Jackson, hasa kwa nchini Marekani. Lakini bado filamu, single mbili ("Blood on the Dance Floor" na "HIStory/Ghosts") na miziki ya video mitatu ilitolewa ikiwa kama promosheni. Ripoti ya vyombo vya habari kwa kipindi hicho zilichanganywa mno, baadhi yao wanaponda na kuhisi kwamba Jackson eti tayari alishalijua hili kwamba kuna watu wataponda kazi hasa kwa ufinyu wa sauti katika uimbaji. Ukosoaji mwingine ulukuwa wa kawaida, kwa kusifiwa kuwa muziki wake upo sawa tu ule wakina Marilyn Manson na Trent Reznor.

Kwa mauzo ya dunia nzima yalisimama katika kiasi cha milioni sita kwa hesabu ya mwaka wa 2007, na kuifanya iwe miongoni mwa remixi albamu iliouza vizuri/bora kuliko zote zilizowahi kutolewa hapo awali.

Chati Nafasi
iliyoshika
Austria 2 [4]
Australia 2
Belgium (Vl) 1
Belgium (Wa) 2
Finland 3
France 1
New Zealand 1
Norway 2
Sweden 4
Switzerland 2
UK 1
US 24

Matunukio

[hariri | hariri chanzo]
Nchi Matunukio Mauzo
Kanada Gold 50,000
Ujerumani Gold 250,000 [5]
Spain Platinum 80,000 [6]
Switzerland Platinum 50,000 [7]

Orodha ya nyimbo

[hariri | hariri chanzo]
# JinaMtunzi (wa) Urefu
1. "Blood on the Dance Floor"  Michael Jackson, Teddy Riley 4:14
2. "Morphine"  M. Jackson 6:26
3. "Superfly Sister"  M. Jackson, Bryan Loren 6:27
4. "Ghosts"  M. Jackson, Riley 5:13
5. "Is It Scary"  M. Jackson, James Harris III, Terry Lewis 5:35
6. "Scream Louder (Flyte Tyme Remix)"  M. Jackson, Janet Jackson, Harris, Lewis 5:27
7. "Money (Fire Island Radio Edit)"  M. Jackson 4:22
8. "2 Bad (Refugee Camp Mix)"  M. Jackson, Bruce Swedien, Rene Austin, Dallas Austin 3:32
9. "Stranger in Moscow (Tee's In-House Club Mix)"  M. Jackson 6:55
10. "This Time Around (D.M. Radio Mix)"  M. Jackson, D. Austin 4:05
11. "Earth Song (Hani's Club Experience)"  M. Jackson 7:55
12. "You Are Not Alone (Classic Club Mix)"  R. Kelly 7:38
13. "HIStory (Tony Moran's HIStory Lesson)"  M. Jackson, Harris, Lewis 8:00

Double LP

[hariri | hariri chanzo]

Side A

  1. Blood On the Dance Floor - 4:13
  2. Morphine - 6:27
  3. Superfly Sister - 6:27

Side B

  1. Ghosts - 5:08
  2. Is It Scary - 5:35
  3. Scream Louder (Flyte Tyme Remix) - 5:30
  4. Money (Fire Island Radio Edit) - 4:23

Side C

  1. 2 Bad (Refugee Camp Mix) - 3:32
  2. Stranger In Moscow (Tee's In-House Club Mix) - 6:53
  3. This Time Around (D.M. Club Mix) - 10:23

Side D

  1. Earth Song (Hani's Club Experience) - 7:55
  2. You Are Not Alone (Classic Club Edit) - 4:59
  3. HIStory (Tony Moran's HIStory Lesson) - 8:00
  1. Hitilafu ya kutaja: Invalid <ref> tag; no text was provided for refs named Thor on BOTDF
  2. Hitilafu ya kutaja: Invalid <ref> tag; no text was provided for refs named Violanti on BOTDF
  3. Hitilafu ya kutaja: Invalid <ref> tag; no text was provided for refs named Sonia on BOTDF
  4. "Michael Jackson - Blood on the Dance Floor - History in the Mix (album)". www.ultratop.be. Iliwekwa mnamo 22 Desemba 2008.
  5. Bundesverband Musikindustrie
  6. [1]
  7. [2]


Alitanguliwa na
Spice ya Spice Girls
Albamu Namba 1 za UK
24 Mei 19976 Juni 1997
Akafuatiwa na
Open Road ya Gary Barlow