I Just Can't Stop Loving You

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“I Just Can't Stop Loving You”
“I Just Can't Stop Loving You” cover
Single ya Michael Jackson
kutoka katika albamu ya Bad
Imetolewa 20 Julai 1987
Muundo CD single
Imerekodiwa 1986
Aina R&B
Studio Epic Records
Mtunzi Michael Jackson
Mtayarishaji Michael Jackson na Quincy Jones
Mwenendo wa single za Michael Jackson
"Thriller"
(1984)
"I Just Can't Stop Loving You"
(1987)
"Bad"
(1987)

"I Just Can't Stop Loving You" ni jina la kutaja wimbo wa ballad ulioimbwa na Michael Jackson akimshirikisha Siedah Garrett. Wimbo huu umetungwa na Jackson, kiasili ulinuiwa uimbwe pamoja na wanawake vipenzi wa Jackson: aidha Barbra Streisand au Whitney Houston. Hata Aretha Franklin na Agnetha Fältskog (mwanachama wa zamani wa kundi la ABBA) waimbe kwenye wimbo huu, lakini waimbaji wanne hao wote walikuwa na majukumu mengine.

Hata hivyo, mtunzi na Quincy Jones wakampendekeza Garrett, ambaye ndiye aliyeandika ukumbusho wa Jackson "Man in the Mirror", amejitolea kuimba na Jackson hivyo kupelekea Garrett kuwa kwa mara ya kwanza kushiriki kwenye kibao kikali tangu kibao cha 1984 cha Dennis Edwards, "Don't Look Any Further".

Chati[hariri | hariri chanzo]

Chart (1987) Nafasi
iliyoshika
Australia 10
Belgium 1
Denmark 1
France 12
Germany 2
Ireland 1
Italy 1
Japan (International Singles) 3
The Netherlands 1[1]
Norway 1
Sweden 4
Swiss Singles Chart 2[2]
United Kingdom 1
United States 1
Chati (2009) Nafasi
iliyoshika
Swiss Singles Chart 40[2]
UK Singles Chart 78[3]

Orodha ya nyimbo[hariri | hariri chanzo]

  1. "I Just Can't Stop Loving You" – 4:23
  2. "Baby Be Mine" – 4:12

Mix zake[hariri | hariri chanzo]

  1. Toleo la Albamu – 4:25
  2. 7" Toleo – 4:11
    • Toleo hili hapa limetolewa baada ya kutolewa upya albamu kamili ya Bad
  3. "Todo mi amor eres tu" Toleo la Kuhispania – 4:06
  4. "Je ne veux pas la fin de nous" Toleo la Kifaransa – 4:06

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. De Nederlandse Top 40, week 35, 1987. Jalada kutoka ya awali juu ya 2009-03-04. Iliwekwa mnamo 2008-03-12.
  2. 2.0 2.1 Swiss Singles Chart Archives. hitparade.ch. Iliwekwa mnamo 18 Julai 2009.
  3. UK Singles Chart. The Official UK Charts Company. Iliwekwa mnamo 6 Julai 2009.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu I Just Can't Stop Loving You kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.