Happy (wimbo wa Michael Jackson)
Mandhari
“Happy” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Single ya Michael Jackson kutoka katika albamu ya Music and Me | |||||
Imetolewa | 1973 1983 (imetolewa tena) | ||||
Imerekodiwa | 1973 | ||||
Aina | Pop-Rock/R&B | ||||
Studio | Motown | ||||
Mtunzi | Michel Legrand na Smokey Robinson | ||||
Mtayarishaji | The Corporation | ||||
Mwenendo wa single za Michael Jackson | |||||
|
"Happy" ni wimbo uliorekodiwa na Michael Jackson akiwa bado bwana mdogo. Wimbo ulirekodiwa katika studio ya Motown mnamo mwaka wa 1973. Wimbo unatoka katika albamu yake ya Music and Me. Wimbo ulitolewa kama single kunako mwaka wa 1973, na kisha akaja kuutoa tena kunako mwaka wa 1983[1] kwa ajili ya kuipromoti albamu yake ya nyimbo mchanganyiko ya 18 Greatest Hits - ilioitwa Michael Jackson Plus The Jackson 5. Wimbo ulishika #52 kwenye chati za British pop chart.[2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- George, Nelson (2004). Michael Jackson: The Ultimate Collection booklet. Sony BMG.