Forever, Michael

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Forever, Michael
Forever, Michael Cover
Studio album ya Michael Jackson
Imetolewa 16 Januari 1975
Imerekodiwa 1974
Aina R&B, soul, pop/rock[1]
Urefu 33:08
Lebo Motown
Mtayarishaji Edward Holland, Jr., Brian Holland, Hal Davis
Tahakiki za kitaalamu
Wendo wa albamu za Michael Jackson
Music and Me
(1973)
Forever Michael
(1975)
The Best of Michael Jackson
(1975)


Forever, Michael ni albamu ya nne kutolewa na mwimbaji wa Kimarekani Michael Jackson. Albamu ilitolewa na Motown mnamo tar. 16 Januari katika mwaka wa 1975.

Orodha ya nyimbo[hariri | hariri chanzo]

 1. "We're Almost There" (Holland/Holland) – 3:42
 2. "Take Me Back" (Holland/Holland) – 3:24
 3. "One Day in Your Life" (Armand/Brown) – 4:15
 4. "Cinderella Stay Awhile" (Sutton) – 3:08
 5. "We've Got Forever" (Willensky) – 3:10
 6. "Just a Little Bit of You" (Holland/Holland) – 3:10
 7. "You Are There" (Brown/Meitzenheimer/Yarian) – 3:21
 8. "Dapper Dan" (freestyle) – 3:11
 9. "Dear Michael" (Davis/Willensky) – 2:35
 10. "I'll Come Home to You" (Perren/Yarian) – 3:02

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

 1. "Forever, Michael". AllMusic. Iliwekwa mnamo 2009-04-27.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Forever, Michael kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.