Off the Wall (wimbo)
Mandhari
“Off the Wall” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Single ya Michael Jackson kutoka katika albamu ya Off the Wall | |||||
B-side | "Workin' Day and Night" (UK) "Get on the Floor" (U.S.) | ||||
Imetolewa | Februari 1980 | ||||
Muundo | 7" single | ||||
Imerekodiwa | 1979 | ||||
Aina | Disco, R&B | ||||
Urefu | 4:06 | ||||
Studio | Epic Records | ||||
Mtunzi | Rod Temperton | ||||
Mtayarishaji | Quincy Jones | ||||
Mwenendo wa single za Michael Jackson | |||||
|
"Off the Wall" ilikuwa single ya tatu kutolewa na mwimbaji Michael Jackson kutoka katika albamu ya tano ya msanii huyu, Off the Wall.
Ilitolewa mnamo tar. 2 Februari 1980.[1]Wimbo umetungwa na Rod Temperton na kuufanya uwe wimbo wa tatu wa Jackson kutoka katika albamu ya Off the Wall kufika kwenye 10 bora, ambamo baadaye ikaja kuingiza single nne kwenye chati hizo; Jackson alikuwa mtu wa kwanza kufikisha hizi. Wimbo unazungumzia kuwa na matatizo mengi: "achana na hayo tisa-kwa-matano yaweke juu ya rafu/ na uende kujipa raha mwenyewe".
Orodha ya nyimbo
[hariri | hariri chanzo]UK single
[hariri | hariri chanzo]- "Off the Wall" (Remix) – 3:59
- "Workin' Day and Night" – 5:04
U.S. single
[hariri | hariri chanzo]- "Off the Wall" (7" Remix) – 3:47
- "Get on the Floor" – 4:37
Matoleo rasmi
[hariri | hariri chanzo]- Toleo la albamu – 4:05
- 7" edit – 3:47
- Junior Vasquez Mix – 5:13
- Instrumental - 4:23
- Basement Jaxx Mix - 3:42
- Jellybean Remix – 3:42
Chati
[hariri | hariri chanzo]Chati (1980) | Nafasi iliyoshika |
---|---|
UK Singles Chart | 7 |
US Billboard Hot 100 | 10 |
Chati (2009) | Nafasi iliyoshika |
UK Singles Chart | 73 |
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Billboard.com - Search Results - Off the Wall (Singles chart) Ilihifadhiwa 30 Juni 2009 kwenye Wayback Machine.. Nielsen Business Media, Inc. Retrieved on 2008-08-15.
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Off the Wall (wimbo) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |