Billie Jean
“Billie Jean” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Single ya Michael Jackson kutoka katika albamu ya Thriller | |||||
B-side | "It's the Falling in Love" / "Can't Get Outta the Rain" | ||||
Imetolewa | 2 Januari 1983 | ||||
Muundo | 7" single | ||||
Imerekodiwa | 1982 | ||||
Aina | Dance-pop, R&B, Funk | ||||
Urefu | 4:54 | ||||
Studio | Epic Records | ||||
Mtayarishaji | Quincy Jones | ||||
Mwenendo wa single za Michael Jackson | |||||
|
"Billie Jean" ni wimbo wa dance-pop R&B wa msanii Michael Jackson. Wimbo huu ulitungwa na Jackson na kutayarishwa na Quincy Jones kwa ajili ya albamu yake ya sita Thriller (1982). Yenyewe haikupendwa na Jones, wimbo huu almanusura itolewe kwenye albamu baada ya yeye na Jackson kuwa na malumbano kadhaa.
Mashairi yaliyomo yanahusu maisha halisi ya binadamu, ambamo inazungumzia mwanamke mmoja mgonjwa wa kichaa anayedai kwamba Jackson amezaa naye watoto pacha.
Wimbo unajulikana sana kwa besi lake na staili ya sauti ya Jackson. Wimbo huu ulimwezesha Michael kuzidi kuwa maarufu hasa pale alipokuwa akiuimba moja kwa moja jukwaani akiutumia mtindo wa kucheza huku akirudi nyuma nyuma kwa kutumia miguu yake pasipo kuanguka. Kwa lugha ya Kiingereza mtindo huu unafahamika kama Moon Walker. Wachezaji wengi wa muziki duniani wanautumia mtindo huu wa dansi katika maonesho mbalimbali ya kimuziki majukwaani.
Chati
[hariri | hariri chanzo]Chati (1983) | Nafasi iliyoshika |
---|---|
Austrian Singles Chart | 2 |
French Singles Chart | 45[1] |
German Singles Chart | 2[2] |
Irish Singles Chart | 1[3] |
Italian Singles Chart | 7[4] |
Netherlands Singles Chart | 4[5] |
Norwegian Singles Chart | 6[6] |
Spanish Singles Chart | 1[7] |
Swedish Singles Chart | 2[8] |
Swiss Singles Chart | 1[9] |
UK Singles Chart | 1 |
US Billboard Hot 100 | 1 |
US R&B Singles Chart | 1 |
Chati (2009) | Nafasi iliyoshika |
Australian Singles Chart | 7[10] |
Austrian Singles Chart | 15 |
Danish Singles Chart | 9[11] |
Dutch Singles Chart | 21[12] |
Finnish Singles Chart | 11[13] |
Irish Singles Chart | 11[14] |
Italian Singles Chart | 5[15] |
New Zealand Singles Chart | 15[16] |
Norwegian Singles Chart | 5[17] |
Turkey Top 20 Chart | 9[18] |
UK Singles Chart | 10[19] |
U.S. Billboard Hot Digital Songs[20] | 4 |
Matunukio
[hariri | hariri chanzo]Nchi | Matunukio | Mauzo |
---|---|---|
New Zealand | Gold[21] | 7,500 |
Maelezo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "French Singles Chart Archives". lescharts.com. Iliwekwa mnamo 21 Februari 2009.
- ↑ "German Singles Chart Archives". charts-surfer.de. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-07-02. Iliwekwa mnamo 24 Februari 2009.
- ↑ http://www.irishcharts.ie/search/placement
- ↑ "Italian Singles Chart Archives". italiancharts.com. Iliwekwa mnamo 21 Februari 2009.
- ↑ "Dutch Singles Chart Archives". dutchcharts.nl. Iliwekwa mnamo 21 Februari 2009.
- ↑ "Norwegian Singles Chart Archives". norwegiancharts.com. Iliwekwa mnamo 21 Februari 2009.
- ↑ "Spanish Singles Chart Archives". spanishcharts.com. Iliwekwa mnamo 21 Februari 2009.
- ↑ "Swedish Singles Chart Archives". swedishcharts.com. Iliwekwa mnamo 21 Februari 2009.
- ↑ "Swiss Singles Chart Archives". hitparade.ch. Iliwekwa mnamo 21 Februari 2009.
- ↑ http://www.ariacharts.com.au/pages/charts_display.asp?chart=1U50
- ↑ "Danish Singles Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-02-26. Iliwekwa mnamo 2009-07-16.
- ↑ "Dutch Singles Chart".
- ↑ Suomen virallinen lista
- ↑ "Irish Singles Chart".
- ↑ "Italian Singles Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-03-09. Iliwekwa mnamo 2009-07-16.
- ↑ "New Zealand Singles Chart".
- ↑ "Norwegian Singles Chart".
- ↑ "Billboard Türkiye Top 20". Billboard Türkiye (kwa Turkish). 6 Julai 2009. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-04-20. Iliwekwa mnamo 2009-07-06.
{{cite web}}
: Unknown parameter|=
ignored (help)CS1 maint: unrecognized language (link) - ↑ "Singles chart for 04/07/2009". Chart Stats. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-07-23. Iliwekwa mnamo 2 Julai 2009.
- ↑ "Billboard Hot Digital Songs". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-07-04. Iliwekwa mnamo 2009-07-16.
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-06-21. Iliwekwa mnamo 2009-07-16.
{{cite web}}
: Unknown parameter|=
ignored (help)
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Campbell, Lisa (1993). Michael Jackson: The King of Pop. Branden. ISBN 082831957X.
- George, Nelson (2004). Michael Jackson: The Ultimate Collection booklet. Sony BMG.
- Halstead, Craig (2007). Michael Jackson: For the Record. Authors OnLine. ISBN 978-0-7552-0267-6.
- Jackson, Michael (1988). Moon Walk. Doubleday. ISBN 0385247125.
- Taraborrelli, J. Randy (2004). The Magic and the Madness. Terra Alta, WV: Headline. ISBN 0-330-42005-4.
- Thriller 25: The Book (2008). Thriller 25: The Book. ML Publishing Group. ISBN 978-0-9768891-9-9.
{{cite book}}
: CS1 maint: numeric names: authors list (link) - Wadhams, Wayne (2001). Inside the Hits. Berklee Press. ISBN 0634014307.
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Billie Jean kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |