Nenda kwa yaliyomo

Ben (wimbo)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“Ben”
“Ben” cover
Single ya Michael Jackson
kutoka katika albamu ya Ben
Imetolewa 12 Julai 1972
Imerekodiwa 1972
Aina Pop, Jazz, R&B
Urefu 2:48
Studio Motown
Mtunzi Don Black na Walter Scharf
Mtayarishaji Freddie Perren, Alphonzo Mizell, Deke Richards na Berry Gordy, Jr
Mwenendo wa single za Michael Jackson
"Ain't No Sunshine"
(1972)
"Ben"
(1972)
"With a Child's Heart"
(1973)

"Ben" ni wimbo namba moja uliotungwa na Don Black na Walter Scharf na kurekodiwa na bwana mdogo Michael Jackson katika studio ya Motown mnamo mwaka wa 1972. Kiasili, wimbo ulitungwa kwa ajili ya Donny Osmond, na badala yake akapewa Jackson kwa vile Osmond alikuwa kwenye zaira zake na pia hakuwa anapatikana kwa kufanya rekodi hii.

Chati (1972) Nafasi
iliyoshika
UK Singles Chart 7
US Billboard Hot 100 1
Chati (2009) Nafasi
iliyoshika
Australian ARIA Singles Chart 14
Irish Singles Chart 24
UK Singles Chart 46

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]



Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ben (wimbo) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.