Dirty Diana

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“Dirty Diana”
“Dirty Diana” cover
Single ya Michael Jackson
kutoka katika albamu ya Bad
Imetolewa 1987
Muundo CD single
Aina Hard rock
Urefu 4:40 (4:52 on original pressing of Bad)
Studio Epic Records
Mtunzi Michael Jackson
Mwenendo wa single za Michael Jackson
"Man in the Mirror"
(1988)
"Dirty Diana"
(1988)
"Another Part of Me"
(1988)

"Dirty Diana" ni jina la kibao kilichotamba sana cha msanii wa rekodi za muziki wa pop wa Kimarekani, Michael Jackson. Kibao kilitolewa mnamo mwezi wa Aprili katika mwaka wa 1988. Kibao hiki kina maudhui sawa na yale ya wimbo wake wa awali wa "Beat It" kutoka katika yake ya Thriller. Hiki ndicho kilikuwa kibao chake cha tano na mwisho kutamba kwenye chati za Billboard Hot 100 kutoka kwenye albamu ya 1987, Bad.

Orodha ya nyimbo--[hariri | hariri chanzo]

Toleo halisi[hariri | hariri chanzo]

  1. "Dirty Diana" – 4:40
  2. "Dirty Diana" (Biti) – 4:40

Toleo la Visionary[hariri | hariri chanzo]

CD side
  1. "Dirty Diana" - 4:40
  2. "Dirty Diana" (Biti) – 4:40
Upande wa DVD
  1. "Dirty Diana" (muziki wa video)

Chati[hariri | hariri chanzo]

Chati (1988) Nafasi
iliyoshika
Australia 11
Austria 1
Belgium Singles Chart 1
Danish Singles Chart 3
French Singles Chart 9
Irish Singles Chart 3
New Zealand Singles Chart 5
Italian Singles Chart 6
Spanish Singles Chart 1
Swiss Singles Chart 3[1]
UK Singles Chart 4
U.S. Billboard Hot 100 1
Chati (2009) Nafasi
iliyoshika
Austrian Singles Chart 22
Danish Singles Chart 5
German Singles Chart 22
Irish Singles Chart 27
Norwegian Singles Chart 17
Swedish Singles Chart 29
Swiss Singles Chart 13[1]
UK Singles Chart 26

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 "Swiss Singles Chart Archives". hitparade.ch. Iliwekwa mnamo 18 Julai 2009. 

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]


Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dirty Diana kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.