In the Closet

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“In the Closet”
“In the Closet” cover
Single ya Michael Jackson
kutoka katika albamu ya Dangerous
Imetolewa Mei, 1992
Muundo CD single
Imerekodiwa 1990/91
Aina New jack swing [1]
Urefu 6:31
Studio Epic Records
Mtunzi Michael Jackson
Teddy Riley
Mtayarishaji Michael Jackson
Teddy Riley
Mwenendo wa single za Michael Jackson
"Remember the Time"
(1992)
"In the Closet"
(1992)
"Jam"
(1992)

"In the Closet" ni wimbo wa mwanamuziki wa rock, R&B na pop Michael Jackson kutoka katika albamu yake ya mwaka wa 1991, Dangerous. Wimbo umekuwa wa pili kushika nafasi ya kwanza kwa midundo ya R&B na namba tatu kwenye kumi bora chati za Billboard kwa midundo ya aina ya pop, namba sita kwenye chati za Billboard Hot 100.

Orodha ya Nyimbo[hariri | hariri chanzo]

Toleo Halisi[hariri | hariri chanzo]

Singe za UK[hariri | hariri chanzo]

 1. "In the Closet" (7" edit) – 4:49
 2. "In the Closet" (Club Mix) – 7:53
 3. "In the Closet" (The Underground Mix) – 5:32
 4. "In the Closet" (Touch Me Dub) – 7:53
 5. "In the Closet" (KI's 12") – 6:55
 6. "In the Closet" (The Promise) – 7:18

Single za U.S.[hariri | hariri chanzo]

 1. "In the Closet" (Club Edit) – 4:07
 2. "In the Closet" (The Underground Mix) – 5:34
 3. "In the Closet" (The Promise) – 7:20
 4. "In the Closet" (The Vow) – 4:49
 5. "Remember the Time" (New Jack Jazz [21]) – 5:06

Single za Visionary[hariri | hariri chanzo]

CD side
 1. "In the Closet" (7" edit)
 2. "In the Closet" (Club Mix)
DVD side
 1. "In the Closet" (Music video)

Toleo Rasmi[hariri | hariri chanzo]

 • Album Version – 6:31
 • 7" Edit – 4:47
 • Radio Edit – 4:29
 • Video Mix – 6:05

Mamixi Mengine[hariri | hariri chanzo]

 • Club Mix – 8:05
 • Club Edit
 • Touch Me Dub
 • KI's 12" - 7:16
 • Freestyle Mix - 6:34
 • The Newark Mix - 7:07

Michakaliko Kwenye Chati[hariri | hariri chanzo]

Orodha ya chati ya single hii ni kama ifuatavyo:[2]

Chati (1992) Nafasi
iliyoshika
US Billboard Hot 100 6
US Billboard Hot Dance Music/Club Play 1
US Billboard Hot R&B/Hip-Hop Singles & Tracks 1
Australian Singles Chart 5
Austrian Singles Chart 23
Belgium Singles Chart 14
Dutch Singles Chart 9
French Singles Chart 9
German Singles Chart 15
Italian Singles Chart 9
Norwegian Singles Chart 10
Swedish Singles Chart 29
Swiss Singles Chart 25
UK Singles Chart 8

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

 1. "Dangerous". Sputnik. Iliwekwa mnamo 2009-06-21. 
 2. Halstead, Craig; Cadman, Chris (2003). Jacksons Number Ones. Authors On Line Ltd. p. 71. ISBN 978-0-7552-0098-6

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu In the Closet kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.