Nenda kwa yaliyomo

Ö3 Austria Top 40

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ö3 Austria Top 40 au Austrian Singles Chart ni jina la kutaja chati za single rasmi huko nchini Austria. Siku ya kurushwa ni Ijumaa na hurushwa kwenye redio ya Hitradio Ö3. Chati hizi, zina jumlisha single za Kiaustria, miito ya simu na chati za kupakua kutoka mtandaoni. Ilianza kurushwa rasmi kuanzia tar. 26 Novemba 1968 na ililetwa na Ernst Grissemann.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ö3 Austria Top 40 kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.