Teddy Riley
Teddy Riley | |
---|---|
Jina la kuzaliwa | Edward Theodore Riley[1] |
Amezaliwa | 8 Oktoba 1967 |
Kazi yake | Mtayarishaji wa rekodi mtunzi wa nyimbo mwanamuziki mtumbuizaji |
Miaka ya kazi | 1984–hadi leo |
Studio | Interscope, Uptown, MCA, DreamWorks |
Ameshirikiana na | Michael Jackson, Kool Moe Dee, Guy, Blackstreet, MC Hammer, Doug E. Fresh, Bobby Brown, Heavy D. & the Boyz, Today, Snoop Dogg, Girls' Generation, Shinee, Jay Park, f(x), RaNia, EXO, SWV, Patti LaBelle |

Edward Theodore "Teddy" Riley (amezaliwa 8 Oktoba, 1967) ni mtunzi wa nyimbo, mwanamuziki, mpiga kinanda, mtumbuizaji na mtayarishaji wa rekodi kutoka nchini Marekani. Huhesabiwa kama mwanzilishi mtindo wa new jack swing.[2] Kupitia kazi zake za utayarishaji na Michael Jackson, Bobby Brown, Doug E. Fresh, Today, Keith Sweat, Heavy D., Usher, Jane Child, na wengineo kibao - vilevile akiwa kama mmoja wa wanakundi wa Guy na Blackstreet, Riley amehesabika kuwa na athira kubwa mno katika uanzishwaji na uboreshaji wa muziki wa contemporary R&B, hip-hop, soul na pop tangu katika miaka ya 1980.
Albumu[hariri | hariri chanzo]
- Solo: Black Rock (Haijatolewa)
- Guy: Guy diskografia
- Blackstreet: Diskografia ya Blackstreet
Nyimbo zilizotungwa na Teddy Riley[hariri | hariri chanzo]
- The Boys (Girls' Generation-The Boys (2011))
- Check (Girls' Generation-Lion Heart (2015))
- Call Me Baby - EXO (2015)
- Beautiful - EXO (2015)
- Already (Taemin-Press It (2016))
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Teddy Riley: Biography. allmusic.com. Iliwekwa mnamo March 7, 2014.
- ↑ Hogan, Paul. "[Teddy Riley katika Allmusic Teddy Riley biography]" Allmusic Retrieved on September 19, 2009