Gone Too Soon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“Gone Too Soon”
“Gone Too Soon” cover
Single ya Michael Jackson
kutoka katika albamu ya Dangerous
Imetolewa Desemba 1993
Muundo CD single
Imerekodiwa 1991
Aina Adult contemporary
Studio Epic Records
Mtunzi Larry Grossman na Buz Kohan
Mwenendo wa single za Michael Jackson
"Will You Be There"
(1993)
"Gone Too Soon"
(1993)
"Scream/Childhood"
(1995)

"Gone Too Soon" ni wimbo hasa ulioimbwa na mwanamuziki Michael Jackson. Ni wimbo wa tisa kuchukuliwa kutoka kwenye albamu yake ya mwaka wa 1991, Dangerous. Ilishika nafasi ya #33 kwenye chati za UK Singles Chart mnamo mwezi wa Desemba 1993.

Wimbo huu alimwimbia kijana mmoja aliyeathirika na kufa na ugonjwa wa Ukimwi, Ryan White, ambaye Jackson alikuwa na urafiki naye kabla ya kifo chake.

Orodha ya Nyimbo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Gone Too Soon" – 3:21
  2. "Human Nature" – 4:05
  3. "She's Out of My Life" – 3:38
  4. "Thriller" – 5:57

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gone Too Soon kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.