Just a Little Bit of You
Mandhari
“Just a Little Bit of You” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Single ya Michael Jackson kutoka katika albamu ya Forever, Michael | |||||
Imetolewa | 1975 | ||||
Muundo | 7" | ||||
Imerekodiwa | 1974 | ||||
Aina | Soul | ||||
Studio | Motown Records | ||||
Mtunzi | Brian Holland Edward Holland, Jr. | ||||
Mtayarishaji | Brian Holland Edward Holland, Jr. Hal Davis | ||||
Mwenendo wa single za Michael Jackson | |||||
|
"Just a Little Bit of You" ni jina la kutaja wimbo wa mwimbaji wa pop wa Kimarekani, Michael Jackson. Wimbo unatoka katika albamu yake ya mwaka wa 1975, Forever, Michael. Hii ilikuwa albamu ya nne kutoka kwa Michael Jackson, ilitolewa akiwa na umri wa miaka 16. "Just a Little Bit of You" umekuwa wimbo mkali kabisa na maarufu kwa upande wa nyimbo za Michael alizoimba akiwa kama msanii wa kujitegemea katika kipindi chake cha miaka mitatu, kwa kushika #23 kwenye chati za U.S. Pop Singles na #4 kwenye chati za Soul Singles. Wimbo ulitayarishwa na Edward Holland, Jr..
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Just a Little Bit of You kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |