Beat It

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“Beat It”
“Beat It” cover
Single ya Michael Jackson
kutoka katika albamu ya Thriller
Imetolewa 14 Februari 1983
Imerekodiwa 1982
Aina Rock, R&B
Urefu 4:19
Studio Epic Records
Mtunzi Michael Jackson
Mtayarishaji Michael Jackson na Quincy Jones
Mwenendo wa single za Michael Jackson
"Billie Jean"
(1983)
"Beat It"
(1983)
"Wanna Be Startin' Somethin'"
(1983)
Kasha badala
Kasha badala

"Beat It" ni wimbo wa rock na R&B wa msanii wa rekodi wa Kimarekani, Michael Jackson. Wimbo huu ulitungwa na Jackson na kutayarishwa na Quincy Jones kwa ajili ya albamu yake ya sita ya Thriller (1982). Wakati wa utayarishaji wa wimbo huu, Jones aliataka atengeneze rock 'n' roll ya watu weusi kupitia Jackson, lakini, Jackson hakupenda staili hiyo. Wakati wa kurekodi, Eddie Van Halen alijadiliwa aongezee gitaa la solo la rock. Mashairi ya "Beat It" yanazungumzia vikwazo na kutiana moyo, na yanataja maisha yake ya utoto jinsi alivyokuwa akinyanyasika na sura yake.

Chati[hariri | hariri chanzo]

Chati (1983) Nafasi
iliyoshika
Austrian Singles Chart 6[1]
Danish Singles Chart 31[2]
Dutch Singles Chart 1[3]
French Singles Chart 47[4]
Italian Singles Chart 12[5]
Norwegian Singles Chart 8[6]
Spanish Singles Chart 1[7]
Swedish Singles Chart 19[8]
Swiss Singles Chart 2[9]
UK Singles Chart 3[10]
U.S. Billboard Hot 100 1
U.S. R&B Singles Chart 1
Chati (2009) Nafasi
iliyoshika
Australian Singles Chart 17
Danish Singles Chart 18
Finnish Singles Chart 12[11]
Norwegian Singles Chart 10[12]
New Zealand Singles Chart 24
Turkey Top 20 Chart 14[13]
UK Singles Chart 19
U.S. Hot Digital Songs 7[14]

Matunukio[hariri | hariri chanzo]

Nchi Matunukio Mauzo
New Zealand Gold[15] 7,500

Maelezo[hariri | hariri chanzo]

 1. "Austrian Singles Chart Archives". austriancharts.at. Iliwekwa mnamo 24 Machi 2009.
 2. "Danish Singles Chart Archives". danishcharts.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-10-21. Iliwekwa mnamo 24 Machi 2009.
 3. "Dutch Singles Chart Archives". dutchcharts.nl. Iliwekwa mnamo 24 Machi 2009.
 4. "French Singles Chart Archives". lescharts.com. Iliwekwa mnamo 24 Machi 2009.
 5. "Italian Singles Chart Archives". italiancharts.com. Iliwekwa mnamo 24 Machi 2009.
 6. "Norwegian Singles Chart Archives". norwegiancharts.com. Iliwekwa mnamo 24 Machi 2009.
 7. "Spanish Singles Chart Archives". spanishcharts.com. Iliwekwa mnamo 24 Machi 2009.
 8. "Swedish Singles Chart Archives". swedishcharts.com. Iliwekwa mnamo 24 Machi 2009.
 9. "Swiss Singles Chart Archives". hitparade.ch. Iliwekwa mnamo 24 Machi 2009.
 10. "UK Singles Chart Archives". chartstats.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-04-24. Iliwekwa mnamo 24 Machi 2009.
 11. Suomen virallinen lista
 12. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-07-05. Iliwekwa mnamo 2009-07-16.
 13. "Billboard Türkiye Top 20". Billboard Türkiye (kwa Turkish). 6 Julai 2009. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-04-20. Iliwekwa mnamo 2009-07-06. {{cite web}}: Unknown parameter |= ignored (help)CS1 maint: unrecognized language (link)
 14. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-07-04. Iliwekwa mnamo 2009-07-16.
 15. Hitilafu ya kutaja: Invalid <ref> tag; no text was provided for refs named rianz.org.nz

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Beat It kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.