Nenda kwa yaliyomo

Another Part of Me

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“Another Part of Me”
“Another Part of Me” cover
Single ya Michael Jackson
kutoka katika albamu ya Bad
Imetolewa 11 Julai 1988
Muundo CD single
Imerekodiwa 1986
Aina R&B
Urefu 3:53
Studio Epic Records
Mtunzi Michael Jackson
Mtayarishaji Michael Jackson na Quincy Jones
Mwenendo wa single za Michael Jackson
"Dirty Diana"
(1988)
"Another Part of Me"
(1988)
"Smooth Criminal"
(1988)

"Another Part of Me" ni jina la kutaja wimbo ulioimbwa na mwimbaji wa Kimarekani, Michael Jackson. Kiasili wimbo ulikuwepo kwenye filamu ya Jackson ya 1986 Captain EO. Baadaye ikaja kuonekana tena katika albamu yake ya mwaka wa 1987, Bad, na ikaja kutolewa ikiwa kama single ya sita kutoka mnamo mwaka wa 1988.

Mafanikio yake Chatini[hariri | hariri chanzo]

"Another Part of Me" imeshika nafasi zifuatazo:

Muziki wa video[hariri | hariri chanzo]

Muziki wa video rasmi ulitolewa mnamo 1988, na uliongozwa na Patrick Kelly, unamwonyesha Jackson akiimba moja kwa moja wakati wa ziara yake ya Bad World Tour kwenye uwanja wa michezo wa Wembley Arena.

Mixi zake[hariri | hariri chanzo]

  • Toleo la albamu - 3:53
  • Uharirio wa Redio - 4:25
  • 7" Version - 3:46
  • Biti tupul - 3:46
  • Dansi Iliongezwa Urefu na Kumixiwa - 6:18
  • Dub version - 3:51
  • Maneno Matupu bil Biti - 4:00

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Cadman, Chris (2007). Michael Jackson: For the Record. Authors OnLine. ISBN 978-0-7552-0267-6. {{cite book}}: Cite has empty unknown parameter: |coauthors= (help)
  2. Cadman, Chris (2007). Michael Jackson: For the Record. Authors OnLine. ISBN 978-0-7552-0267-6. {{cite book}}: Cite has empty unknown parameter: |coauthors= (help)
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Another Part of Me kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.