You Are Not Alone

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“You Are Not Alone”
“You Are Not Alone” cover
Single ya Michael Jackson
kutoka katika albamu ya HIStory - Past, Present and Future, Book I
Imetolewa 15 Agosti 1995
Muundo CD single
Imerekodiwa 1995
Aina R&B
Urefu 5:45 (toleo la albamu)
4:36 (uharirio wa redio)
6:02 (toleo lililorefushwa)
Studio Epic
Mtunzi R. Kelly
Mtayarishaji R. Kelly, Michael Jackson
Certification Platinum (U.S.)
Mwenendo wa single za Michael Jackson
"Scream/Childhood"
(1995)
"You Are Not Alone"
(1995)
"Earth Song"
(1995)

"You Are Not Alone" ni single ya pili ya msanii Michael Jackson kutoka katika albamu yake ya HIStory. Ilitolewa mnamo mwezi wa Agosti 1995. Wimbo umetungwa na R. Kelly kwa kufuatia hali ngumu yake ya kimaisha kwa kipindi hicho. Baada ya kutungua, baadaye akamtumia tepu ya mashairi na mwenendo mzima wa wimbo huu kwa Jackson, ambaye aliupenda wimbo huu na kuamua kushirikiana na Kelly ili kutayarisha wimbo huu.

Chati[hariri | hariri chanzo]

Chati (1995) Nafasi
Iliyoshika
Australian ARIA Singles Chart 7 [1]
Austrian Singles Chart 2 [1]
Belgian (Flanders) Singles Chart 3 [1]
Belgian (Wallonia) Singles Chart 1 [1]
Dutch Singles Chart 6 [1]
Finnish Singles Chart 10 [1]
French Singles Chart 1 [1]
Irish Singles Chart 1 [2]
Italian Singles Chart 14 [1]
New Zealand RIANZ Singles Chart 1 [1]
Norwegian Singles Chart 9 [1]
Spanish Singles Chart 1 [1]
Swedish Singles Chart 2 [1]
Swiss Singles Chart 1[3]
UK Singles Chart 1 [4]
US Billboard Hot 100 1 [5]
Chati (2009) Nafasi
Iliyoshika
Danish Singles Chart 33 [1]
New Zealand Singles Chart 12[6]
Swiss Singles Chart 16[3]
UK Singles Chart 35[7]

Matunukio[hariri | hariri chanzo]

Nchi Matunukio Mauzo/Usafirishaji
Austria[8] Gold 20,000
France[9] Gold 250,000
Germany[10] Gold 250,000[11]
New Zealand[12] Gold 7,500[13]
Switzerland[14] Gold 25,000
United Kingdom[15] Gold 400,000
United States[16] Platinum 1,000,000

Orodha ya Nyimbo[hariri | hariri chanzo]

Kanada na U.S.

  1. You Are Not Alone - 5:48
  2. You Are Not Alone (Radio Edit) - 4:54
  3. You Are Not Alone (Franctified Club Mix) - 10:40
  4. Scream Louder (Flyte Tyme Remix) - 5:30
  5. MJ Megaremix - 10:33

Japan single

  1. You Are Not Alone - 5:48
  2. You Are Not Alone (Radio Edit) - 4:54
  3. You Are Not Alone (Franctified Club Mix) - 10:40
  4. You Are Not Alone (R. Kelly Mix) - 6:23
  5. You Are Not Alone (Classic Club Mix) - 7:40
  6. You Are Not Alone (Jon B. Main Mix) - 6:55
  7. You Are Not Alone (Jon B. Padapella Mix) 6:55

Austria single

  1. You Are Not Alone - 5:48
  2. You Are Not Alone (Radio Edit) - 4:54
  3. You Are Not Alone (Franctified Club Mix) - 10:40
  4. You Are Not Alone (Classic Club Mix) - 7:40
  5. You Are Not Alone (Jon B. Main Mix) - 6:55
  6. You Are Not Alone (Jon B. Padapella Mix) 6:55
  7. MJ Medley - 4:59

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.00 1.01 1.02 1.03 1.04 1.05 1.06 1.07 1.08 1.09 1.10 1.11 1.12 M. Jackson & J. Jackson - You Are Not Alone (nummer). www.ultratop.be. Iliwekwa mnamo 2008-11-09.
  2. Irish Recording Music Association (24 Agosti 1995). Irish Singles Chart (searchable database). irishcharts.ie. Iliwekwa mnamo 2008-12-08.
  3. 3.0 3.1 Swiss Singles Chart Archives. hitparade.ch. Iliwekwa mnamo 18 Julai 2009.
  4. George, p. 48
  5. Artist Chart History - Michael Jackson. Billboard. Jalada kutoka ya awali juu ya 2008-02-02. Iliwekwa mnamo 2008-11-05.
  6. New Zealand Singles Chart. RIANZ. Jalada kutoka ya awali juu ya 2007-06-21. Iliwekwa mnamo 7 Julai 2009.
  7. UK Singles Chart. The Official UK Charts Company. Iliwekwa mnamo 6 Julai 2009.
  8. International Federation of the Phonographic Industry (21 Desemba 1995). Austrian certification (search). ifpi.at. Iliwekwa mnamo 2008-12-08.
  9. Syndicat national de l'édition phonographique (1995). French certification. chartsinfrance.net. Iliwekwa mnamo 2008-12-08.
  10. International Federation of the Phonographic Industry (1995). German certification. musikindustrie.de. Iliwekwa mnamo 2008-12-08.
  11. International Federation of the Phonographic Industry (1995). Criteria (PDF). musikindustrie.de. Iliwekwa mnamo 2008-12-08.
  12. Recording Industry Association of New Zealand (2009). New Zealand certification: Look at #1676 Monday 6 July 2009. rianz.org.nz. Jalada kutoka ya awali juu ya 2007-06-21. Iliwekwa mnamo 2009-07-07.
  13. Recording Industry Association of New Zealand (2009). New Zealand Chart Facts. rianz.org.nz. Jalada kutoka ya awali juu ya 2012-09-26. Iliwekwa mnamo 2009-07-07.
  14. Hit Parade (1995). Swiss certification. hitparade.ch. Iliwekwa mnamo 2008-12-08.
  15. British Phonographic Industry (1 Oktoba 1995). U.K. certification. bpi.co.uk. Jalada kutoka ya awali juu ya 2021-04-20. Iliwekwa mnamo 2008-12-08.
  16. Recording Industry Association of America (13 Oktoba 1995). U.S. certification. riaa.com. Iliwekwa mnamo 2008-12-08.[dead link]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]



Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu You Are Not Alone kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.