I Wanna Be Where You Are
“I Wanna Be Where You Are” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Single ya Michael Jackson kutoka katika albamu ya Got to Be There | |||||
Imetolewa | 2 Mei 1972 | ||||
Muundo | 7" single | ||||
Imerekodiwa | Hitsville West, Los Angeles, California | ||||
Aina | Soul | ||||
Urefu | 3:16 | ||||
Studio | Motown M1202F | ||||
Mtunzi | Leon Ware Arthur "T-Boy" Ross | ||||
Mtayarishaji | Hal Davis | ||||
Mwenendo wa single za Michael Jackson | |||||
|
"I Wanna Be Where You Are" ni wimbo uliotungwa na Leon Ware na Arthur "T-Boy" Ross kwa ajili ya Michael Jackson. Wimbo ulishika nafasi ya kumi na sita kwenye chati za U.S. pop single na nafasi ya pili kwenye chati za U.S. R&B single kunako mwaka 1972. Huu ni wimbo wake wa tatu kuingia moja kwa moja katika Top 40 pop ya vibao vikali vya enzi ya usanii wake wa kujitegemea katika stuidio ya Motown. Pia, hii ndiyo ulikuwa ushirikiano wake kwa mara ya kwanza kati ya Ware na Ross, mdogo wake wa kiume wa mwimbaji wa R&B, Diana Ross.
Huu ndiyo wimbo pekee wa Jackson ulioimbwa/kutumiwa tena sana na Marvin Gaye na Willie Hutch, Jason Weaver na The Fugees. Wimbo huu pia uliimbwa tena na Zakiya kunako miaka ya 90 na ulitayarishwa na Shedrick Guy kwenye studio ya A&M.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu I Wanna Be Where You Are kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |