Music & Me

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Music & Me
Music & Me Cover
Studio album ya Michael Jackson
Imetolewa 13 Aprili 1973
Imerekodiwa 1971-1973
Aina R&B, soul, pop/rock[1]
Urefu 31:51
Lebo Motown
Mtayarishaji Hal Davis
Tahakiki za kitaalamu
Wendo wa albamu za Michael Jackson
Ben
(1972)
Music & Me
(1973)
Forever, Michael
(1975)

Music & Me ilikuwa albamu ya tatu kutolewa na mwimbaji wa Kimarekani, Michael Jackson. Albamu ilitolewa mnamo tar. 13 Aprili ya mwaka wa 1973, na studio ya Motown. Albamu ilitolewa wakati wa kipindi kigumu sana kwa kufuatia bwana mdogo mwimbaji alikuwa na mabadiliko ya sauti kutoka udogoni kwenda ukubwani na hivyo kupelekea kuleta tabu na badililo la muziki.

Historia[hariri | hariri chanzo]

Orodha ya nyimbo[hariri | hariri chanzo]

  1. "With a Child's Heart" (Basemore/Cosby/Moy) (yenyewe kabisa iliimbwa na Stevie Wonder) – 3:29
  2. "Up Again" (Perren/Yarian) – 2:50
  3. "All the Things You Are" (Hammerstein/Kern) – 2:59
  4. "Happy" (Kibwagizo kutoka katika filamu ya Lady Sings the Blues) (Legrand/Robinson) – 3:25
  5. "Too Young" (Lippman/Dee) – 3:38
  6. "Doggin' Around" (Agree) (yenyewe kabisa iliimbwa na Jackie Wilson) – 2:52
  7. "Johnny Raven" (Page) – 3:33
  8. "Euphoria" (Ware/Hilliard) – 2:50
  9. "Morning Glow" (Schwartz) – 3:37
  10. "Music and Me" (Cannon/Fenceton/Larson/Marcellino) – 2:38

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Music & Me. AllMusic. Iliwekwa mnamo 2009-04-27.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Music & Me kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.