Ben (albamu)
Mandhari
(Elekezwa kutoka Ben)
Ben | |||||
---|---|---|---|---|---|
Studio album ya Michael Jackson | |||||
Imetolewa | 4 Agosti 1972 | ||||
Imerekodiwa | 1971–1972 | ||||
Aina | R&B, soul, pop/rock[1] | ||||
Urefu | 31:15 | ||||
Lebo | Motown | ||||
Mtayarishaji | Hal Davis | ||||
Tahakiki za kitaalamu | |||||
Wendo wa albamu za Michael Jackson | |||||
|
|||||
Single za kutoka katika albamu ya Ben | |||||
|
Ben ilikuwa albamu ya pili kutolewa na hayati mwimbaji na mtayarishaji muziki wa Kimarekani, Michael Jackson. Albamu ilitokewa mnamo mwezi wa Agosti ya mwaka wa 1972, miezi saba tangu kutolewa kwa albamu yake ya kwanza ya Got to Be There. Kibao chake cha "Ben" kiliuza sana na ndiyo nyimbo ya kwanza ya Jackson kushika nafasi #1 nchini Marekani.
Historia
[hariri | hariri chanzo]Orodha ya nyimba
[hariri | hariri chanzo]- "Ben" (Don Black/Scharf) – 2:44
- "The Greatest Show on Earth" (Larson/Marcellino) – 2:48
- "People Make the World Go Round" (Bell/Creed) (yenyewe kabisa iliimbwa na The Stylistics) – 3:15
- "We've Got a Good Thing Going" (The Corporation) – 2:59
- "Everybody's Somebody's Fool" (Adams/Hampton) (yenyewe kabisa iliimbwa na The Heartbeats) – 2:59
- "My Girl" (Robinson/White) (yenyewe kabisa iliimbwa na The Temptations) – 3:08
- "What Goes Around Comes Around" (Levinsky/Stokes/Meyers/Weatherspoon) – 3:33
- "In Our Small Way" (Verdi/Yarian) – 3:39
- "Shoo-Be-Doo-Be-Doo-Da-Day" (Cosby/Moy/Wonder) (yenyewe kabisa iliimbwa na Stevie Wonder) – 3:21
- "You Can Cry on My Shoulder" (Gordy) (yenyewe kabisa iliimbwa na Brenda Holloway) – 2:39
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ben (albamu) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |