Nenda kwa yaliyomo

Blood on the Dance Floor (wimbo)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“Blood on the Dance Floor”
“Blood on the Dance Floor” cover
Single ya Michael Jackson
kutoka katika albamu ya Blood on the Dance Floor: HIStory in the Mix
Imetolewa 21 Machi,1997
Muundo CD single
Imerekodiwa 1997
Aina New Jack Swing, pop, dance, funk, rock
Urefu 4:13
Studio Epic Records
Mtunzi Michael Jackson
Mtayarishaji Michael Jackson
Teddy Riley
Mwenendo wa single za Michael Jackson
"Stranger in Moscow"
(1997)
"Blood on the Dance Floor"
(1997)
"HIStory/Ghosts"
(1997)

"Blood on the Dance Floor" ni single ya kwanza kutoka katika albamu ya Michael Jackson (remix albamu), Blood on the Dance Floor: HIStory in the Mix.

Kuhusu wimbo

[hariri | hariri chanzo]

Jackson na Teddy Riley walitengeneza wimbo huu mwaka 1991 wakati wa kutolewa kwa albamu ya Dangerous. Hata hivyo, haukuonekana katika rekodi ile na ukaja kubadilishwa kidogo kabla ya kutolewa kwake kibiashara mnamo mwaka wa 1997. Wimbo unamhusu mwanamama mwindaji mmoja aliyeitwa kwa jina la Susie, ambaye aliyemtongoza Jackson kabla ya kupanga kumchoma na kisu cha tumbo. Maudhui ya wimbo yapo katika mitabaka mbali-mbali - humu kuna rock na funk.

Chati (1997) Nafasi
iliyoshika
Australia 5
Austria 9
Belgium (Vl) 11
Belgium (Wa) 11
Finland 2
France 10
Germany 5 [1]
Italy 10 [2]
Netherlands 7 [2]
New Zealand 1 [2]
Norway 2
Spain 1
Sweden 2
Switzerland 5
UK 1
U.S. Billboard Hot 100 42

Orodha ya nyimbo

[hariri | hariri chanzo]

UK single #1

  1. "Blood on the Dance Floor" – 4:12
  2. "Blood on the Dance Floor" (TM's Switchblade Mix) – 8:39
  3. "Blood on the Dance Floor" (Refugee Camp Mix) – 5:27
  4. "Blood on the Dance Floor" (Fire Island Vocal Mix) – 8:57
  5. "Blood on the Dance Floor" (Fire Island Dub) – 8:55

UK single #2

  1. "Blood on the Dance Floor" – 4:12
  2. "Blood on the Dance Floor" (TM's Switchblade Edit) – 8:39
  3. "Blood on the Dance Floor" (Fire Island Radio Edit) – 8:57
  4. "Dangerous" (Roger's Dangerous Club Mix) – 6:55

U.S. single

  1. "Blood on the Dance Floor" – 4:12
  2. "Blood on the Dance Floor" (TM's Switchblade Edit - long) – 4:11
  3. "Blood on the Dance Floor" (Refugee Camp Edit) – 3:19
  4. "Blood on the Dance Floor" (Fire Island Radio Edit) – 3:50
  5. "Blood on the Dance Floor" (TM's Switchblade Mix - long) – 10:00
  6. "Dangerous" (Roger's Dangerous Club Mix) – 6:55

EU single (EPC 664355 2)

  1. "Blood on the Dance Floor" – 4:14
  2. "Blood on the Dance Floor" (Fire Island Vocal Mix) – 8:56
  3. "Blood on the Dance Floor" (TM's Switchblade Mix) – 8:38
  4. "Dangerous" (Roger's Dangerous Club Mix) – 6:56
  1. "Blood on the Dance Floor". www.charts-surfer.de. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-07-02. Iliwekwa mnamo 13 Januari 2009.
  2. 2.0 2.1 2.2 "M. Jackson - Blood on the Dance Floor (nummer)". www.ultratop.be. Iliwekwa mnamo 22 Desemba 2008.
Alitanguliwa na
"I Believe I Can Fly" ya R Kelly
UK Singles Chart
Single Namba 1

27 Aprili 19974 Mei 1997
Akafuatiwa na
"Love Won't Wait" ya Gary Barlow
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Blood on the Dance Floor (wimbo) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.