Nenda kwa yaliyomo

Ain't No Sunshine

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


“Ain't No Sunshine”
Single ya Michael Jackson
Imetolewa 1972
Muundo CD & DVD & Kaset
Aina Soul
Urefu 3:16
Studio Motown Records
Mtunzi Leon Ware, Arthur "T-Boy" Ross
Mtayarishaji Hal Davis
Mwenendo wa single za Michael Jackson
I Wanna Be Where You Are Ain't No Sunshine
(1972)
Ben
(1972)

Ain't No Sunshine ni jina la kutaja wimbo wa pop ulioimbwa na Michael Jackson mnamo mwaka wa 1971. Wimbo unatoka katika albamu ya Got To Be There. Wimbo ulirekodiwa katika studio ya Motown Records.

Chati[hariri | hariri chanzo]

"Ain't No Sunshine" (1972) Nafasi
iliyoshika
Uingereza 8