Cry
Mandhari
(Elekezwa kutoka Cry (wimbo wa Michael Jackson))
“Cry” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Single ya Michael Jackson kutoka katika albamu ya Invincible | |||||
Imetolewa | 3 Desemba 2001[1] | ||||
Muundo | CD single | ||||
Imerekodiwa | 1999 | ||||
Aina | R&B, Soul, Gospel | ||||
Urefu | 5:00 | ||||
Studio | Epic Records | ||||
Mtunzi | R. Kelly | ||||
Mtayarishaji | R. Kelly | ||||
Mwenendo wa single za Michael Jackson | |||||
|
"Cry" ni wimbo kutoka katika albamu ya Michael Jackson ya mwaka wa 2001, Invincible, wimbo umetungwa na mwimbaji wa R&B na mtunzi, R. Kelly, ambaye ndiye aliyekuwa akiimba sauti za nyuma. Wimbo huu ni miongoni mwa nyimbo tatu zilizotungwa na Kelly kwa ajili ya Jackson. Mingine yake ni pamoja na "One More Chance" na "You Are Not Alone".
Muziki wa Video
[hariri | hariri chanzo]Muziki wa video wa "Cry" unaonyesha watu wengi wakishikana mikono katika sehemu mbalimbali. Baadhi ya vipande vya mashairi kutoka wimboni: If we all cry, at the same time tonight. Muziki wa video wa wimbo huu uliongozwa na Nick Brandt ambaye pia aliyepiga video za "Childhood" na "Earth Song" kwa ajili ya Michael.[2]
Orodha ya Nyimbo
[hariri | hariri chanzo]- "Cry" (R. Kelly) – 5:00
- "Shout" (M. Jackson/T. Riley/C. Forbes/S. Hoskins/C. Lampson/R. Hamilton) – 4:17
- "Streetwalker" (Jackson) – 5:49
Chati
[hariri | hariri chanzo]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]
|