Got to Be There

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kwa makala ya nyimbo yenye jina sawa na hili, tafadhali fungua hapa
Got to Be There
Got to Be There Cover
Studio album ya Michael Jackson
Imetolewa 24 Januari 1972
Imerekodiwa 1971
Aina R&B, soul, pop/rockHitilafu ya kutaja: Invalid parameter in <ref> tag
Urefu 35:11
Lebo Motown
Mtayarishaji Hal Davis, Willie Hutch
Tahakiki za kitaalamu
Wendo wa albamu za Michael Jackson
Got to Be There
(1971/1972)
Ben
(1972)


Got to Be There ilikuwa albamu ya kujitegemea iliyotolewa wakati huo wa enzi za ujana wa Michael Jackson. Albamu ilitolewa na studio ya Motown Records, mnamo tar. 24 Januari katika mwaka wa 1972.[1] Albamu imejumlisha kibao ambacho kinakwenda kwa jina hilihili la albamu, ambacho kilitolewa mnamo mwaka 1971 kikiwa kama single ya kwanza ya Michael Jackson.

Historia[hariri | hariri chanzo]

Orodha ya nyimbo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Ain't No Sunshine" (Withers) (yenyewe iliimbwa na Bill Withers) – 4:09
  2. "I Wanna Be Where You Are" (Ware/Ross) – 3:01
  3. "Girl Don't Take Your Love From Me" (Hutch) – 3:46
  4. "In Our Small Way" (Verdi/Yarian) – 3:34
  5. "Got to Be There" (Willensky) – 3:23
  6. "Rockin' Robin" (Thomas) (yenyewe iliimbwa na Bobby Day) – 2:31
  7. "Wings of My Love" (Corporation) – 3:32
  8. "Maria (You Were the Only One)" (Brown/Glover/Gordy/Story) – 3:41
  9. "Love Is Here and Now You're Gone" (Holland-Dozier-Holland) (yenyewe iliimbwa na The Supremes) – 2:51
  10. "You've Got a Friend" (King) (yenyewe iliimbwa na Carole King) – 4:53

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Got to Be There kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.