Invincible (albamu ya Michael Jackson)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Invincible
Invincible Cover
Studio album ya Michael Jackson
Imetolewa 30 Oktoba 2001
Imerekodiwa Oktoba 1997 – Juni 2001
Aina Contemporary R&B, pop/rock, dance-pop, adult contemporary, urban[1]
Urefu 77:08
Lebo Epic Records
EK-69400
Mtayarishaji Michael Jackson, Rodney Jerkins, Teddy Riley, Kenneth "Babyface" Edmonds, R. Kelly, Dr. Freeze
Tahakiki za kitaalamu
Wendo wa albamu za Michael Jackson
HIStory
(1995)
Invincible
(2001)
Single za kutoka katika albamu ya Invincible
  1. "You Rock My World"
    Imetolewa: 11 Oktoba 2001
  2. "Cry"
    Imetolewa: 3 Desemba 2001
  3. "Butterflies"
    Imetolewa: 8 Novemba 2001 (promo)

Invincible ni jina la kutaja albamu ya kumi ya mwimbaji, mwanamuziki, mtayarishaji wa rekodi, mfanyabishara, na mhisani wa Kimarekani, Michael Jackson. Albamu ilitolewa na studio ya Epic Records mnamo tar. 30 Oktoba 2001, miaka sita tangu kutolewa kwa albamu yake ya 1995 yenye matoleo mawili kwa pamoja, HIStory. Albamu hii imeingiza nyimbo mpya tu tangu kutolewa kwa albamu ya Dangerous mnamo mwaka wa 1991. Kasha la aalbamu, lina picha ya sura ya Jackson, inapatika katika rangi tano tofauti - nyekundu, kijani, chungwa, buluu na fedha. Hadi leo, albamu imekadiriwa kuuza kati ya nakala milioni 8 - 12 kwa hesabu ya dunia nzima.[2]

Matayarisho[hariri | hariri chanzo]

Albamu imekuwa ya kwanza kutoa nyimbo zoote mpya tangu kutolewa kwa albamu ya Dangerous ya mwaka wa 1991.[3] Katika upande wa utayarishaji ulishikiriwa na wasanii kadhaa kama vile Rodney Jerkins, R. Kelly na mwanachama wa zamani wa kundi la muziki wa R&B la Jodeci, DeVante Swing. Mtayarishaji wa hip hop Dr. Dre naye aliombwa atayarishe albamu, lakini alikataa.[4]

Orodha ya nyimbo[hariri | hariri chanzo]

Invincible
# JinaMtunzi (wa) Urefu
1. "Unbreakable" (Akimshirikisha The Notorious B.I.G.; sauti za nyuma zimefanywa na Brandy Norwood)Jackson, Daniels, Jerkis, Payne, Smith, Wallace 6:26
2. "Heartbreaker"  Jackson, Jerkins, Jerkins III, Daniels, Mischke, Gregg 5:09
3. "Invincible"  Jackson, Daniels, Gregg, Jerkins, Jerkins 4:46
4. "Break of Dawn"  Jackson, Dr. Freeze 5:32
5. "Heaven Can Wait"  Jackson, Riley, Heard, Smith, Beal, Laues, Quiller 4:49
6. "You Rock My World" (Introductory skit featuring Chris Tucker)Jackson, Daniels, Jerkins, Jerkins, Payne 5:39
7. "Butterflies" (Akimshirikisha Marsha Ambrosius)Harris, Ambrosius 4:40
8. "Speechless"  Jackson 3:18
9. "2000 Watts"  Jackson, Riley, Gibson, Henson 4:24
10. "You Are My Life"  Jackson, Babyface, Sager, McClain 4:33
11. "Privacy"  Jackson, Belle, Daniels, Jerkins, Jerkins 5:05
12. "Don't Walk Away"  Jackson, Riley, Stites, Vertelney 4:24
13. "Cry" (Cry pia uliitwa (We Can Change The World))R. Kelly 5:00
14. "The Lost Children"  Jackson 4:00
15. "Whatever Happens" (Gitaa na Carlos Santana)Jackson, Riley, Quay, Williams 4:56
16. "Threatened" (contains snippets from Rod Serling)Jackson, Jerkins, Jerkins III, Daniels 4:18
77:08

Chati zake[hariri | hariri chanzo]

Chati (2001/2002) Nafasi
iliyoshika
Matunukio Mauzo/Upelekaji wa nchi za nje
Australian Albums Chart 1[5] 2x Platinum [6] 140,000
Austrian Albums Chart 2[7] Gold[8] 20,000
Canadian Top 50 3 Uncertified [9] <50,000
Danish Albums Chart 1[10] Gold[11] 25,000
Dutch Albums Chart 1[12] Platinum[13] 80,000
Finnish Albums Chart 7[14] Gold[15] 16,621
French Albums Chart 1[16] 2x Platinum 575,000[17]
German Albums Chart 1 Platinum[18] 300,000
Japanese Albums Chart 5 Platinum 200,000[19]
Norwegian Albums Chart 1[20] Platinum[21] 50,000
Portuguese Albums Chart 8[22] Gold[23] 20,000
Swedish Albums Chart 1[24] Gold 40,000
Turkish Albums Chart 1[24] Platinum 120,000
U.S. Billboard 200 1 2x Platinum[25] 9,100,000[26][27][28]
UK Albums Chart 1 Platinum[29] 350,000

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Invincible. AllMusic. Iliwekwa mnamo 2009-04-27.
  2. Hitilafu ya kutaja: Invalid <ref> tag; no text was provided for refs named tara 614–617
  3. Hiatt, Brian (21 Desemba 2000). Michael Jackson Nearing Completion Of New LP. MTV. Iliwekwa mnamo 2009-06-22.
  4. Moss, Corey (10 Januari 2001). Dre Passes On Michael Jackson Project. MTV. Iliwekwa mnamo 2009-06-22.
  5. australian-charts.com - Michael Jackson - Invincible
  6. ARIA Charts - Accreditations - 2001 Albums
  7. Michael Jackson - Invincible - austriancharts.at
  8. IFPI Austria - Verband der Österreichischen Musikwirtschaft. Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-07-06. Iliwekwa mnamo 2009-07-04.
  9. You must specify title = and url = when using {{cite web}}.. Jalada kutoka ya awali juu ya 2016-01-11. Iliwekwa mnamo 2009-07-04.
  10. danishcharts.com - Michael Jackson - Invincible. Jalada kutoka ya awali juu ya 2009-06-30. Iliwekwa mnamo 2009-07-04.
  11. Hitlisten.NU[dead link]
  12. dutchcharts.nl - Michael Jackson - Invincible
  13. NVPI, de branchevereniging van de entertainmentindustrie - Goud/Platina. Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-10-08. Iliwekwa mnamo 2009-07-04.
  14. finnishcharts.com - Michael Jackson - Invincible
  15. IFPI. Jalada kutoka ya awali juu ya 2008-12-20. Iliwekwa mnamo 2009-07-04.
  16. lescharts.com - Michael Jackson - Invincible
  17. http://fanofmusic.free.fr/ParcoursAlbum-M.php "France Sales"
  18. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2007-09-30. Iliwekwa mnamo 2009-07-04.
  19. Sony Music Online Japan: ƒ}ƒCƒPƒ‹ EƒWƒƒƒNƒ\ƒ“ : ƒCƒ“ƒtƒHƒ [ƒVƒ‡ƒ“
  20. norwegiancharts.com - Michael Jackson - Invincible
  21. IFPI Norsk platebransje. Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-05-10. Iliwekwa mnamo 2009-07-04.
  22. portuguesecharts.com - Michael Jackson - Invincible
  23. Artistas & Espectáculos 2008 . Top Associação Fonográfica Portuguesa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2008-12-10. Iliwekwa mnamo 2009-07-04.
  24. 24.0 24.1 http://www.hitlistan.se/ "Week 45, 2001"
  25. RIAA
  26. Michael Jackson may incur financial problems - 21 Novemba 2003
  27. USATODAY.com - Jackson's freedom isn't free
  28. Michael Jackson Faces Daunting Road Back to Pop Glory - New York Times
  29. Platinum. Jalada kutoka ya awali juu ya 2008-04-09. Iliwekwa mnamo 2009-07-04.

Vyanzo zaidi[hariri | hariri chanzo]