Anthology

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Anthology
Anthology Cover
Compilation album ya Michael Jackson
Imetolewa Novemba 14, 1986 (1986-11-14) (U.S.)
Novemba 8, 1995 (1995-11-08) (U.S.)
Imerekodiwa 1970–1975
Aina Soul
Lebo Motown
Mtayarishaji The Corporation, Hal Davis
Tahakiki za kitaalamu
Wendo wa albamu za Michael Jackson
Looking Back to Yesterday
(1986)
Anthology
(1986/1995)
Bad
(1987)


Anthology ilikuwa kompilesheni ya vibao vikali vya Motown vya pop na R&B vya mwimbaji Michael Jackson ikiwa na vibao adimu vya kundi zima la The Jackson 5, ikiwa sambamba kabisa na maujanja ambayo hayakutolewa mwaka wa 1973. Kiasili albamu ilitolewa nchini Marekani mnamo tar. 14 Novemba 1986 na kutolewa upya tena kunako tar. 8 Novemba ya mwaka wa 1995.

Orodha ya Nyimbo[hariri | hariri chanzo]

Matoleo mawili ya CD ya 1986[hariri | hariri chanzo]

Diski 1

 1. "Got to Be There"
 2. "Rockin' Robin"
 3. "Ain't No Sunshine"
 4. "Maria (You Were the Only One)"
 5. "I Wanna Be Where You Are"
 6. "Girl, Don't Take Your Love from Me"
 7. "Love Is Here and Now You're Gone"
 8. "Ben"
 9. "People Make the World Go 'Round"
 10. "Shoo-Be-Doo-Be-Doo-Da-Day"
 11. "With a Child's Heart"
 12. "Everybody's Somebody's Fool"
 13. "In Our Small Way"
 14. "All the Things You Are"
 15. "You Can Cry on My Shoulder"
 16. "Maybe Tomorrow" (The Jackson 5)
 17. "I'll Be There" (The Jackson 5)
 18. "Never Can Say Goodbye" (The Jackson 5)
 19. "It's Too Late to Change the Time" (The Jackson 5)
 20. "Dancing Machine" (The Jackson 5)

Diski ya pili[hariri | hariri chanzo]

 1. "When I Come of Age"
 2. "Dear Michael"
 3. "Music and Me"
 4. "You Are There"
 5. "One Day in Your Life"
 6. "Love's Gone Bad"
 7. "That's What Love Is Made Of"
 8. "Who's Looking for a Lover"
 9. "Lonely Teardrops"
 10. "We're Almost There"
 11. "Take Me Back"
 12. "Just a Little Bit of You"
 13. "Melodie"
 14. "I'll Come Home to You"
 15. "If'n I Was God"
 16. "Happy (Love Theme from "Lady Sings the Blues")"
 17. "Don't Let It Get You Down"
 18. "Call on Me"
 19. "To Make My Father Proud"
 20. "Farewell My Summer Love"

Toleo jipya la 1995[hariri | hariri chanzo]

Diski 1

 1. "Got to Be There"
 2. "Rockin' Robin"
 3. "Ain't No Sunshine"
 4. "Maria (You Were the Only One)"
 5. "I Wanna Be Where You Are"
 6. "Girl, Don't Take Your Love from Me"
 7. "Love Is Here and Now You're Gone"
 8. "Ben"
 9. "People Make the World Go 'Round"
 10. "Shoo-Be-Doo-Be-Doo-Da-Day"
 11. "With a Child's Heart"
 12. "Everybody's Somebody's Fool"
 13. "Greatest Show on Earth"
 14. "We've Got a Good Thing Going"
 15. "In Our Small Way"
 16. "All the Things You Are"
 17. "You Can Cry on My Shoulder"
 18. "Maybe Tomorrow" (The Jackson 5)
 19. "I'll Be There" (The Jackson 5)
 20. "Never Can Say Goodbye" (The Jackson 5)
 21. "It's Too Late to Change the Time" (The Jackson 5)
 22. "Dancing Machine" (The Jackson 5)

Diski 2

 1. "When I Come of Age"
 2. "Dear Michael"
 3. "Music and Me"
 4. "You Are There"
 5. "One Day in Your Life"
 6. "Make Tonight All Mine" (Original 1973 Version)
 7. "Love's Gone Bad" (Original 1972 Version)
 8. "That's What Love Is Made Of"
 9. "Who's Looking for a Lover"
 10. "Lonely Teardrops"
 11. "Cinderella Stay Awhile"
 12. "We're Almost There"
 13. "Take Me Back"
 14. "Just a Little Bit of You"
 15. "Melodie" (Original 1973 Version)
 16. "I'll Come Home to You"
 17. "If'n I Was God" (Original 1973 Version
 18. "Happy (Love Theme from "Lady Sings the Blues")"
 19. "Don't Let It Get You Down" (Original 1973 Version)
 20. "Call on Me" (Original 1973 Version)
 21. "To Make My Father Proud" (Original 1973 Version)
 22. "Farewell My Summer Love"
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Anthology kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.