Black or White

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“Black or White”
“Black or White” cover
Single ya Michael Jackson
kutoka katika albamu ya Dangerous
Imetolewa 11 Novemba 1991
Muundo 7" single
12" single
CD single
Imerekodiwa 1990
Aina Hard rock

Rock

Urefu 3:22 (haririo la redio)
4:16 (toleo la albamu)
Studio Epic
Mtunzi Michael Jackson
Mtayarishaji Michael Jackson
Mwenendo wa single za Michael Jackson
"Liberian Girl"
(1989)
"Black or White"
(1991)
"Remember the Time"
(1992)

"Black or White" ilikuwa single ya kwanza kuchukuliwa kwenye albamu ya Michael Jackson ya Dangerous, imetoka tarehe 11 Novemba katika mwaka wa 1991. Single hii ilipata kusifiwa kwamba ni wimbo bora wa rock uliouza sana kwenye miaka ya 1990. "Black or White" ni mchanganyiko wa hard rock, dance na rap.

Umetungwa, na kuandaliwa na Jackson na mashairi ya rap yameimbwa na Bill Bottrell. Wimbo huu unazungumzia hali ya kuungana kirangi.

Wimbo umeshika nafasi ya kwanza katika chati za US Billboard Hot 100 na UK Singles Chart, na vilevile imeshika chati kadhaa kwenye nchi zingine 18.

Historia[hariri | hariri chanzo]

Orodha ya nyimbo[hariri | hariri chanzo]

Toleo halisi[hariri | hariri chanzo]

  1. "Black or White" (7" Version) – 3:22
  2. "Black or White" (Instrumental) – 3:22
  3. "Smooth Criminal" – 4:10

Toleo la Visionary[hariri | hariri chanzo]

CD side
  1. "Black or White" (Single version) – 3:22
  2. "Black or White" (Clivillés & Cole House Guitar Radio Mix) – 3:50
DVD side
  1. "Black or White" (muziki wa video)

Chati[hariri | hariri chanzo]

Chati (1991) Nafasi
iliyoshika
Marekani - US Billboard Hot 100 1
Uingereza - UK Singles Chart 1
Australia 1
Brazil 1
Ubelgiji 1
Kanada 1
Ufaransa 1
Ireland 1
Italia 1
New Zealand 1
Norwei 1
Singapore 1
Hispania 1
Sweden 1
Swiss Singles Chart 1[1]
Austria 1
Ujerumani 1
Denmark 1
Uholanzi 1
Chati (2009) Nafasi
iliyoshika
Austrian Singles Chart 17
Danish Singles Chart 22
New Zealand Singles Chart 16[2]
Norwegian Singles Chart 18[3]
Swiss Singles Chart 7[1]
UK Singles Chart 25[4]

Matunukio[hariri | hariri chanzo]

Nchi Matunukio Mauzo
Marekani Platinum 1,000,000
Australia 2xPlatinum[5] 140,000[5]
New Zealand Platinum[2] 15,000[2][6]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 Swiss Singles Chart Archives. hitparade.ch. Iliwekwa mnamo 18 Julai 2009.
  2. 2.0 2.1 2.2 The Official New Zealand Music Chart. Recording Industry Association of New Zealand (RIANZ) (6 Julai 2009). Jalada kutoka ya awali juu ya 2007-06-21. Iliwekwa mnamo 10 Julai 2009.
  3. VG-Lista Topp 20. Vakthavende Journalist (VG) (2009). Iliwekwa mnamo 7 Julai 2009.[dead link]
  4. UK Singles Chart. The Official UK Charts Company (Julai 11, 2009). Iliwekwa mnamo 11 Julai 2009.
  5. 5.0 5.1 Aria 50 Top Singles Charts. Australian Recording Industry Association (ARIA) (6 Julai 2009). Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-05-18. Iliwekwa mnamo 10 Julai 2009.
  6. The Official New Zealand Music Chart: Charts Facts. Recording Industry Association of New Zealand (RIANZ) (6 Julai 2009). Jalada kutoka ya awali juu ya 2012-09-26. Iliwekwa mnamo 10 Julai 2009.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]


Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Black or White kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.