One Day in Your Life (wimbo)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“One Day in Your Life”
“One Day in Your Life” cover
Single ya Michael Jackson
kutoka katika albamu ya One Day in Your Life
B-side "Take Me Back"
Imetolewa 1981
Muundo 7", 12"
Imerekodiwa 1974
Aina Pop
Studio Motown Records
Mtunzi Sam Brown
Renée Armand
Mtayarishaji Sam Brown
Mwenendo wa single za Michael Jackson
"Girlfriend"
(1980)
"One Day in Your Life"
(1981)
"The Girl Is Mine"
(with Paul McCartney)
(1982)

"One Day in Your Life" ni wimbo uliorekodiwa na Michael Jackson kwa ajili ya albamu yake ya mwaka wa 1975, Forever, Michael. Ulikuja kutolewa tena baadaye ukiwa kama single mnamo 1981 baada ya kupata kuvuma sana kwa albamu yake ya 1979 Off the Wall, ingawa Jackson aliitoa albamu yake katika studio tofauti.

Chati[hariri | hariri chanzo]

Chati (1981) Nafasi
iliyoshika
Australian Singles Chart 9
Dutch Singles Chart 1
Irish Singles Chart 1
UK Singles Chart 1
US Billboard Hot 100 55
Chati (2009) Nafasi
iliyoshika
UK Singles Chart 94[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "UK Singles Chart". The Official UK Charts Company. Iliwekwa mnamo 6 Julai 2009. Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu One Day in Your Life (wimbo) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.