Ease on Down the Road
Mandhari
“Ease on Down the Road” | ||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Single ya Diana Ross na Michael Jackson kutoka katika albamu ya The Wiz: Original Motion Picture Soundtrack | ||||||||||||||
Imetolewa | 21 Septemba 1978 | |||||||||||||
Muundo | 7" | |||||||||||||
Aina | R&B, soul | |||||||||||||
Urefu | 3:19 | |||||||||||||
Studio | MCA | |||||||||||||
Mtunzi | Charlie Smalls | |||||||||||||
Mtayarishaji | Quincy Jones Tom Bahler | |||||||||||||
Mwenendo wa single za Michael Jackson | ||||||||||||||
|
"Ease On Down the Road" ni jina la kutaja wimbo ulioimbwa na wasanii wawili kati ya Diana Ross na Michael Jackson mnamo mwaka wa 1978. Wimbo ulishika nafasi ya 1 kwa wiki kadhaa. Kwa taarifa za Consumer Rapport, wimbo ulishika nafasi ya 19 kwenye chati za Hot Soul Singles na #42 kwenye chati za Hot 100.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Whitburn, Joel (2004). Top R&B/Hip-Hop Singles: 1942-2004. Record Research. uk. 132.
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ease on Down the Road kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |