HIStory/Ghosts

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“HIStory"/"Ghosts”
“HIStory"/"Ghosts” cover
Single ya Michael Jackson
kutoka katika albamu ya Blood on the Dance Floor: HIStory in the Mix
Imetolewa 30 Julai 1997
Muundo CD single
Imerekodiwa 1993–1996
Aina New jack swing
Urefu 6:37 (HIStory)
5:13 (Ghosts)
Studio Epic Records
Mtayarishaji Michael Jackson, Jimmy Jam na Terry Lewis na Teddy Riley
Mwenendo wa single za Michael Jackson
"Blood on the Dance Floor"
(1997)
"HIStory"/"Ghosts"
(1997)
"You Rock My World"
(2001)

"HIStory"/"Ghosts" ni wimbo wa Michael Jackson kutoka katika remix albamu yake ya mwaka wa 1997, Blood on the Dance Floor: HIStory in the Mix. Wimbo halisi wa "HIStory" ulitolewa ukiwa kama wimbo kwenye albamu yake ya mwaka wa 1995, HIStory, lakini haukutolewa kama single. "Ghosts" limekuwa jina jipya la rekodi hii.

"HIStory" ulitungwa na Michael Jackson, James Harris III na Terry Lewis kabla haijaremixiwa na Tony Moran mnamo 1997. Remix, lakini , haijahusisha kabisa kionho chochote kile kilichokuwa katika wimbo halisi wa history. "Ghosts" ulitungwa na kutayarishwa na Jackson na Teddy Riley mnamo mwaka wa 1997. Wazee wa maelezo wamefanya uchunguzi kuhusu mashairi yaliyomo wimboni, hasa katika shighuli za utengenezaji wa video yake.

Michakaliko yake kwenye chati[hariri | hariri chanzo]

Ilipotolewa tu imeshika nafasi kadhaa kule UK, namba 5. Kule nchini Uholanzi, Ubelgiji na Sweden, wimbo umetumia majuma 17-18 kwenye chati za nchini humo. Nchini Australia, wimbo umeshika nafasi ya 43 kabla haujabwagwa kwenye chati hizo. Wimbo huu haujaonekana kabisa kwenye chati za Billboard kule nchini Marekani.[1]

Chati[hariri | hariri chanzo]

Chart (1997) Nafasi
iliyoshika
Australia 43
Austria 36
Belgium (Vl) 17
Belgium (Wa) 10
Netherlands 14
Finland 16
France 26
New Zealand 29 [2]
Sweden 12
Switzerland 16
UK 5

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "Artist Chart History - Michael Jackson". Billboard. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-02-02. Iliwekwa mnamo 27 Februari 2009. {{cite web}}: Italic or bold markup not allowed in: |publisher= (help)
  2. "M. Jackson - HIStory/Ghosts (nummer)". www.ultratop.be. Iliwekwa mnamo 14 Septemba 2008.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]


Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu HIStory/Ghosts kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.