Nenda kwa yaliyomo

The Girl Is Mine

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“The Girl Is Mine”
“The Girl Is Mine” cover
Single ya Michael Jackson na Paul McCartney
kutoka katika albamu ya Thriller
B-side "Can't Get Outta the Rain"
Imetolewa 18 Oktoba 1982
Imerekodiwa 1982
Aina Pop
Urefu 3:42
Studio Epic
Mtunzi Michael Jackson
Mtayarishaji Michael Jackson
Quincy Jones
Mwenendo wa single za Michael Jackson
"One Day in Your Life"
(1981)
"The Girl Is Mine"
(1982)
"Billie Jean"
(1983)
Mwenendo wa single za Paul McCartney
"Tug of War"
(1982)
"The Girl Is Mine"
(1982)
"Say Say Say"
(1983)

"The Girl Is Mine" ni wimbo ulioimbwa na Michael Jackson na Paul McCartney. Wimbo ulitungwa na Jackson, na ulitayarishwa na Quincy Jones kwa ajili ya albamu yake ya sita ya Thriller (1982). Wimbo ulirekodiwa kwenye studio ya Westlake Studios, Los Angeles, kuanzia tar. 14 Aprili hadi 16, 1982. Mwaka mmoja kabla, Jackson na McCartney walirekodi "Say Say Say" na "The Man" kwa ajili ya albamu yake ya kujitegemea ya tano baadaye, Pipes of Peace (1983). Watu hawakuvutiwa na wimbo wa "The Girl Is Mine"; walifikiria kwamba Jackson na Quincy Jones walitunga wimbo huu kwa ajili ya Wazungu.

Chati (1983) Nafasi
iliyoshika
Dutch Singles Chart 16[1]
Norwegian Singles Chart 2[2]
UK Singles Chart 8
US Billboard Hot 100 2
US R&B Singles Chart 1
  1. "Dutch Singles Chart Archives". dutchcharts.nl. Iliwekwa mnamo 9 Machi 2009.
  2. "Norwegian Singles Chart Archives". norwegiancharts.com. Iliwekwa mnamo 9 Machi 2009.




Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu The Girl Is Mine kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.