Earth Song

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“Earth Song”
“Earth Song” cover
Single ya Michael Jackson
kutoka katika albamu ya HIStory: Past, Present and Future, Book I
Imetolewa Novemba 27, 1995 (1995-11-27)
Muundo CD single
Imerekodiwa 1995
Aina Blues, gospel, opera
Urefu 6:46 (toleo la albamu)
4:58 (uharirio wa redio)
Studio Epic Records
Mtunzi Michael Jackson
Mtayarishaji Michael Jackson
David Foster
Bill Bottrell
Mwenendo wa single za Michael Jackson
"You Are Not Alone"
(1995)
"Earth Song"
(1995)
"They Don't Care About Us"
(1995)

"Earth Song" ni single ya tatu ya Michael Jackson kutoka katika albamu yake ya tisa ya HIStory: Past, Present and Future, Book I. Ni muziki wa ballad ulitumbukiziwa na elementi za muziki wa blues, gospel na opera. Jackson ana historia ndefu ya kutoa nyimbo zenyekuhusiana na masuala ya kijamii. Nyimbo hizo ni pamoja na "We Are the World", "Man in the Mirror" na "Heal the World". Hata hivyo, "Earth Song" ndiyo wimbo wa kwanza uliohusu sana na masuala ya mazingira na haki za wanyama. Wimbo huu ulitungwa na kuandaliwa na Jackson; katika suala zima la utayarishaji wa kazi hii iligawiwa kati ya Jackson, David Foster na Bill Bottrell.

Chati[hariri | hariri chanzo]

Chati (1995) Nafasi
Iliyoshika
Australian ARIA Singles Chart[1] 15
Austrian Singles Chart[1] 2
Belgian (Flanders) Singles Chart[1] 4
Belgian (Wallonia) Singles Chart[1] 2
Dutch Singles Chart[1] 3
Eurochart Hot 100 Singles[2] 55
Finnish Singles Chart[1] 8
French Singles Chart[1] 2
Italian Singles Chart[1] 15
New Zealand RIANZ Singles Chart[1] 4
Norwegian Singles Chart[1] 4
Spanish Singles Chart[1] 1
Swedish Singles Chart[1] 4
Swiss Singles Chart 1[3]
UK Singles Chart[1] 1
U.S. Billboard Hot Dance Music/Club Play[4] 32
Chati (2009) Nafasi
Iliyoshika
Danish Singles Chart[1] 32
Swiss Singles Chart 4[3]
UK Singles Chart 33[5]

Matunukio[hariri | hariri chanzo]

Nchi Matunukio Mauzo
Ujerumani 2X Platin 1,000,000 [6]
Switzerland Platin 50,000 [7]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.00 1.01 1.02 1.03 1.04 1.05 1.06 1.07 1.08 1.09 1.10 1.11 1.12 1.13 "M. Jackson - Earth Song (nummer)". www.ultratop.be. Iliwekwa mnamo 9 Novemba 2008. 
  2. "European Hot 100 Singles - Earth Song - Michael Jackson". Billboard. Nielsen Business Media. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-01-13. Iliwekwa mnamo 5 Desemba 2008. 
  3. 3.0 3.1 "Swiss Singles Chart Archives". hitparade.ch. Iliwekwa mnamo 18 Julai 2009. 
  4. "Artist Chart History - Michael Jackson". Billboard. Nielsen Business Media. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-02-02. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2008. 
  5. "UK Singles Chart". The Official UK Charts Company. Iliwekwa mnamo 6 Julai 2009. 
  6. Bundesverband Musikindustrie
  7. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Earth Song kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.