Rock with You
Mandhari
(Elekezwa kutoka Rock with You (wimbo wa Michael Jackson))
“Rock With You” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Single ya Michael Jackson kutoka katika albamu ya Off the Wall | |||||
Imetolewa | 3 Novemba 1979 | ||||
Muundo | 7" | ||||
Imerekodiwa | 1979 | ||||
Aina | Disco, R&B, Soul | ||||
Urefu | 3:39 | ||||
Studio | Epic Records | ||||
Mtunzi | Rod Temperton | ||||
Mtayarishaji | Michael Jackson na Quincy Jones | ||||
Mwenendo wa single za Michael Jackson | |||||
|
"Rock with You" ni wimbo uliotolewa kunako tar. 3 Novemba 1979, ukiwa kama wimbo wa pili kutoka katika albamu ya tano ya mwimbaji wa Kimarekani Michael Jackson, Off the Wall. Wimbo ulitungwa na mmoja kati ya wanachama wa bendi ya Heatwave Rod Temperton, na kupelekea kumsaidia Jackson uwe wimbo kwanza na bora katika miaka ya 1980. Ripoti hizo zilitolewa na gazeti la Billboard.
Wimbo ulishika nafasi ya kwanza katika chati za muziki wa pop na R&B na kuwa miongoni mwa single za Jackson zilizopendwa zaidi. Muziki wa video wa wimbo huu unamwonyesha Jackson akiwa kwenye tabasamu zuuri huku akiwa amevaa suti ya kumelemeta na picha za mataa ya kung'aa kwa nyuma. Kwa mujibu wa Billboard, wimbo huu ulikuwa wa nne kwa ubora katika miaka ya 1980.[1]
Chati
[hariri | hariri chanzo]Chati (1979) | Nafasi Iliyoshika |
---|---|
Australian Singles Chart | 4 |
Canadian Singles Chart | 4 |
German Singles Chart | 58 |
French Singles Chart | 59 |
Irish Singles Chart | 11 |
Italian Singles Chart | 9 |
Spanish Singles Chart | 1 |
UK Singles Chart | 7 |
US Billboard Hot 100 | 1 |
Chati (2009) | Nafasi Iliyoshika |
Australian ARIA Singles Chart | 36 |
UK Singles Chart | 54 |
U.S. Billboard Hot Digital Songs[2] | 17 |
Orodha ya nyimbo
[hariri | hariri chanzo]UK single
[hariri | hariri chanzo]- "Rock with You" - 3:20
- "Get on the Floor" - 4:57
U.S. single
[hariri | hariri chanzo]- "Rock with You" - 3:20
- "Working Day and Night" - 5:04
Visionary single
[hariri | hariri chanzo]- CD side
- "Rock with You" (7" edit) - 3:23
- "Rock with You" (Masters at Work Remix) - 5:33
- Upande wa DVD
- "Rock with You" (muziki wa video)
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ The Billboard Hot 100 - 1980
- ↑ "Billboard.com - Michael Jackson breaks Billboard charts". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-07-04. Iliwekwa mnamo 2009-07-14.
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Rock with You kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |