Agnetha Fältskog
Mandhari
Agnetha Fältskog | |
---|---|
| |
Maelezo ya awali | |
Amezaliwa | 5 Aprili 1950 Jönköping, Sweden |
Aina ya muziki | Pop |
Kazi yake | Mwimbaji, Mtunzi, Mtayarishaji wa rekodi |
Ala | Sauti, Piano |
Aina ya sauti | [1]Soprano |
Miaka ya kazi | 1967–1988, 2004–2005 |
Studio | Cupol CBS Records Polar Music Warner Music Group |
Tovuti | http://www.agnetha.net |
Agnetha Fältskog (amezaliwa na jina la Agneta Åse Fältskog 5 Aprili 1950) ni mwimbaji wa muziki wa pop, mtunzi wa nyimbo, na mtayarishaji wa rekodi kutoka nchini Sweden.
Anafahamika sana kwa kuwa mmoja kati wa wanachama wa kundi la muziki la Kiswidi, ABBA.
Discography
[hariri | hariri chanzo]
|
|
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- As I Am: Abba Before & Beyond (1997) ISBN 1-85227-654-1
- Wille Wendt: Topplistan - The Official Swedish Single & Album Charts, Premium Förlag, ISBN 91-971894-2-1
- Guinness Book of British Hit Singles 7th Edition - 1988
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- Svensktoppen.nu, detailed chart info Archived 4 Oktoba 2011 at the Wayback Machine.
- Official Agnetha website
- Official ABBA site
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Uswidi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Agnetha Fältskog kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |