Spice Girls

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Spice Girls
Spice Girls wakiwa kazini
Spice Girls wakiwa kazini
Maelezo ya awali
Asili yake London, Uingereza
Aina ya muziki Pop rock, dance-pop, teen pop
Miaka ya kazi 1994–2001; 2007–2008
Studio Virgin Records
Tovuti www.thespicegirls.com
Wanachama wa sasa
Melanie Brown (Scary Spice)
Victoria Beckham (Posh Spice)
Emma Bunton (Baby Spice)
Melanie Chisholm (Sporty Spice)
Geri Halliwell (Ginger Spice)


Spice Girls ni kundi maarufu la muziki wa pop kutoka nchini Uingereza. Kundi lilianzishwa mnamo mwaka wa 1994. Moja kati ya vibao vyao vikali ni pamoja na "Wannabe", "Spice Up Your Life" na "Stop".

Kundi zima linaundwa na mwanachama kama: Victoria Beckham ("Posh Spice"), Melanie Brown ("Scary Spice"), Emma Bunton ("Baby Spice"), Melanie Chisholm ("Sporty Spice") na Geri Halliwell ("Ginger Spice").

Kundi limetoa albamu tatu: Spice mnamo mwaka wa 1996, Spice World mnamo mwaka wa 1997 na Forever mnamo mwaka wa 2000. The Spice Girls pia wamecheza kwenye filamu ya Spiceworld: The Movie, ambayo ilitolewa mnamo mwezi wa Desemba katika mwaka wa 1997.

Wasichana hao watano walikuja kuungana tena hapo mnamo mwaka wa 2007 na kutangaza kwamba wafanya ziara ya kimataifa Archived 24 Oktoba 2009 at the Wayback Machine. ambayo imeanza mwezi wa Desemba.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanamuziki wa Uingereza bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Spice Girls kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.