Greatest Hits (albamu ya Spice Girls)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Greatest Hits
Greatest Hits Cover
Greatest hits ya Spice Girls
Imetolewa 7 Novemba 2007
Aina Pop, R&B, Europop, dance, pop rock
Urefu 54:44
Lebo Virgin, EMI
Mtayarishaji Richard Stannard, Matt Rowe, Absolute, Darkchild
Tahakiki za kitaalamu
Wendo wa albamu za Spice Girls
Forever
(2000)
Greatest Hits
(2007)

Greatest Hits ni mkusanyikao wa vibao vikali vya kundi la muziki wa pop la Kiingereza, Spice Girls. Na pia ndiyo albamu ya kwanza kutolewa baada ya miaka saba na ilisaidiwa na sindikizo la ziara yao ya kimataifa. Ilipata kutolewa moja kwa moja dunia kote mnamo mwezi wa Novemba katika mwaka wa 2007, kasoro Marekani pekee ambapo ilipata kutolewa mwisho 6 Novemba 2007 na kuja kutolewa ile kamili mnamo tar. 15 Januari 2008.[1] Greatest Hits imeuza takriban nakala zaidi ya milioni 1.7 kwa hesabu ya dunia nzima.

Orodha ya nyimbo[hariri | hariri chanzo]

Toleo la kawaida[hariri | hariri chanzo]

 1. "Wannabe" (Radio Edit) – 2:56
 2. "Say You'll Be There" (Single Mix) – 3:58
 3. "2 Become 1" (Single Version) – 4:04
 4. "Mama" (Radio Version) – 3:42
 5. "Who Do You Think You Are" (Radio Version) – 3:46
 6. "Move Over" – 2:44
 7. "Spice Up Your Life" (Stent Radio Mix) – 2:56
 8. "Too Much" (Radio Edit) – 3:53
 9. "Stop" – 3:26
 10. "Viva Forever" (Radio Edit) – 4:14
 11. "Let Love Lead the Way" (Radio Edit) – 4:16
 12. "Holler" (Radio Edit) – 3:56
 13. "Headlines (Friendship Never Ends)" – 3:31
 14. "Voodoo" – 3:11
 15. "Goodbye" (Radio Edit) – 4:25

Toleo maalumu[hariri | hariri chanzo]

 • Disc One: Toleo la kawaida[2]
 • Disc Two: DVD, containing music videos for:
 1. "Wannabe" – 3:56
 2. "Say You'll Be There" – 3:52
 3. "2 Become 1" – 3:56
 4. "Mama" – 3:37
 5. "Who Do You Think You Are" – 3:42
 6. "Spice Up Your Life" – 3:05
 7. "Too Much" – 3:50
 8. "Stop" – 3:31
 9. "Viva Forever" – 4:10
 10. "Let Love Lead the Way" – 4:18
 11. "Holler" – 4:15
 12. "Headlines (Friendship Never Ends)" – 3:56 (U.S. release only)
 13. "Goodbye" – 4:35

Box Set[hariri | hariri chanzo]

 • Disc One: Standard edition
 • Disc Two: Special edition (Music Videos)
 • Disc Three: Karaoke collection:
 1. "Wannabe" – 2:54
 2. "Say You'll Be There" – 3:54
 3. "2 Become 1" – 4:07
 4. "Mama" – 3:43
 5. "Who Do You Think You Are" – 3:45
 6. "Move Over" – 2:48
 7. "Spice Up Your Life" – 2:55
 8. "Too Much" – 3:55
 9. "Stop" – 3:31
 10. "Viva Forever" – 4:10
 11. "Let Love Lead the Way" – 4:26
 12. "Holler" – 4:10
 13. "Goodbye" – 4:35
 • Disc Four: Remix collection (sio pamoja na toleo la U.S.):
 1. Wannabe (Motiv 8 Vocal Slam Mix) – 6:21
 2. Say You'll Be There (Junior's Main Pass) – 8:35
 3. 2 Become 1 (Dave Way Remix) – 4:02
 4. Mama (Biffco Mix) – 5:50
 5. Who Do You Think You Are (Morales Club Mix) – 9:31
 6. Spice Up Your Life (Murk Cuba Libre Mix) – 8:07
 7. Too Much (SoulShock & Karlin Remix) – 3:54
 8. Stop (Morales Remix) – 7:25
 9. Viva Forever (Tony Rich Remix) – 5:21
 10. Holler (MAW Remix) – 8:32
 11. Goodbye (Orchestral Mix) – 4:16

Chati[hariri | hariri chanzo]

Chati (2007) Nafasi
iliyoshika
Mauzo Matunukio
Australian Albums Chart[3] 1 80,000+ Platinum
UK Albums Chart[3] 2 360,000+ Platinum
European Top 100 Albums[4] 7
Estonian Album Chart (Standard CD)[5] 8
Argentine Album Chart[6] 8
Irish Albums Chart[3] 9 20,000+ Platinum[7]
Greek International Albums Chart[8] 9
Canada Albums Chart[3] 11 100,000+ Platinum
Mexican International Album Chart[9] 11
Brazilian Album Charts 12 100,000 Gold
New Zealand Albums Chart[3] 15 7,500+ Gold
Japanese Albums Charts[10] 18 75,000+
Russian Album Chart (Standard CD)[11] 20
Italy Album Charts[12] 20
Spanish Album Charts[13] 23
French Album Chart 31 20,000+
Mexican Album Chart[14] 34
Polish Album Chart 48
Sweden Album Chart 50
Germany Album Chart 50
Switzerland Album Chart[15] 52
Estonian Album Chart (CD+DVD Edition)[5] 54
Russian Album Chart (Box Set)[16] 54
Russian Album Chart (CD+DVD Edition)[17] 68
Austrian Album Chart 70
Netherlands Album Chart[3] 73
Billboard 200 93 600,000+ [18] Gold

Mauoz ya IFPI:1,700,000

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

 1. Article confirming release details for the United States Archived 6 Januari 2010 at the Wayback Machine. Billboard. Accessed 8 Januari 2008.
 2. Track listings announced through official website Archived 11 Novemba 2007 at the Wayback Machine.. Accessed 11 Oktoba 2007.
 3. 3.0 3.1 3.2 3.3 3.4 3.5 "Spice Girls - Greatest Hits worldwide chart positions". aCharts.us. Retrieved 19 Novemba 2007.
 4. Billboard.com - Charts - Albums - European Top 100 Albums. Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-10-13. Iliwekwa mnamo 2009-09-25.
 5. 5.0 5.1 Estonian Album Chart Archived 10 Desemba 2008 at the Wayback Machine. Retrieved 19 Novemba 2007.
 6. CAPIF Charts - Argentina. Jalada kutoka ya awali juu ya 2007-07-01. Iliwekwa mnamo 2009-09-25.
 7. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2012-06-29. Iliwekwa mnamo 2009-09-25.
 8. Greek Intern. Albums Chart Archived 20 Novemba 2012 at the Wayback Machine. Retrieved 3 Desemba 2007.
 9. Mexican International Albums Chart - 12th December 2007. Jalada kutoka ya awali juu ya 2010-07-22. Iliwekwa mnamo 2009-09-25.
 10. Oricon Charts - Japan
 11. [1][dead link]
 12. Italian Albums Chart. Jalada kutoka ya awali juu ya 2007-05-06. Iliwekwa mnamo 2009-09-25.
 13. http://www.promusicae.org/listassemanales/albumes/TOP%20100%20ALBUMES%20-%20Week%2048%20.pdf[dead link]
 14. Mexican Albums Chart - 12th December 2007. Jalada kutoka ya awali juu ya 2007-12-02. Iliwekwa mnamo 2009-09-25.
 15. Swiss Albums Chart
 16. [2][dead link]
 17. [3][dead link]
 18. Entertainment Weekly. Spice Girls' 'Greatest' already gold Archived 5 Januari 2009 at the Wayback Machine.. shipped 900,000 copies to retailers Wal-mart.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]


Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Greatest Hits (albamu ya Spice Girls) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.