Spiceworld
Mandhari
Spiceworld | |||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Studio album ya Spice Girls | |||||||||||
Imetolewa | 3 Novemba 1997 | ||||||||||
Aina | Pop, R&B, dance, pop rock | ||||||||||
Urefu | 38:47 | ||||||||||
Lebo | Virgin | ||||||||||
Mtayarishaji | Matt Rowe, Richard Stannard, Absolute | ||||||||||
Tahakiki za kitaalamu | |||||||||||
Wendo wa albamu za Spice Girls | |||||||||||
|
Spiceworld ni albamu ya pili ya kundi la muziki wa pop la Kiingereza, Spice Girls. Albamu ilitolewa mwaka wa 1997. Jina hili pia ni jina la filamu yao iitwayo Spiceworld The Movie. Albamu hii ilipata kuwa mashuhuri sana ulimwenguni, na kuthubutu hata kuitwa homa ya "Spicemania" kwa kipindi hicho. Albamu imetoa single tatu babkubwa zilizoingia kwenye ishirini bora za Marekani, single nne kali zilizoingia kwenye chati za UK, na single zilizoshika namba moja katika tano bora za Asia. Albamu imeuza kopi milioni 20 kwa hesabu ya dunia nzima.[1] Hii pia ilikuwa albamu ya mwisho kumshirikisha Geri Halliwell hadi hapo walipokuja kutoa albamu ya vibao vikali ya Greatest Hits miaka 10 baadaye, mnamo 2007.
Orodha ya nyimbo
[hariri | hariri chanzo]# | Title | Time |
---|---|---|
1. | "Spice Up Your Life" Watunzi: M. Rowe, V. Beckham, M. Brown, E. Bunton, M. Chisholm, G. Halliwell, R. Stannard Watayarishaji: Richard Stannard, Matt Rowe Waimbaji Wakuu: Brown, Chisholm, Halliwell, Beckham, Bunton |
2:53 |
2. | "Stop" Watunzi: V.Beckham, M. Brown, E. Bunton, M. Chisholm, G. Halliwell, A. Watkins, P. Wilson Watayarishaji: Andy Watkins, Paul Wilson Waimbaji Wakuu: Halliwell, Chisholm, Bunton, Beckham, Brown |
3:24 |
3. | "Too Much" Watunzi: V. Beckham, M. Brown, E. Bunton, M. Chisholm, G. Halliwell, A. Watkins, P. Wilson Watayarishaji: Andy Watkins, Paul Wilson Waimbaji Wakuu: Brown, Bunton, Chisholm, Halliwell, Beckham |
4:31 |
4. | "Saturday Night Divas" Watunzi: M. Rowe, V. Beckham, M. Brown, E. Bunton, M. Chisholm, G. Halliwell, R. Stannard Watayarishaji: Richard Stannard, Matt Rowe Waimbaji Wakuu: Beckham, Chisholm, Bunton, Brown |
4:25 |
5. | "Never Give Up On The Good Times" Watunzi: M. Rowe, V.Beckham, M. Brown, E. Bunton, M. Chisholm, G. Halliwell, R. Stannard Watayarishaji: Richard Stannard, Matt Rowe Waimbaji Wakuu: Halliwell, Brown, Chisholm, Bunton, Beckham |
4:30 |
6. | "Move Over" Watunzi: C. Lane, V. Beckham, M. Brown, E. Bunton, M. Chisholm, G. Halliwell, M. Wood Watayarishaji: Richard Stannard, Matt Rowe Waimbaji Wakuu: Bunton, Brown, Chisholm, Halliwell, Beckham |
2:46 |
7. | "Do It" Watunzi: V. Beckham, M. Brown, E. Bunton, M. Chisholm, G. Halliwell, A. Watkins, P. Wilson Watayarishaji: Andy Watkins, Paul Wilson Waimbaji Wakuu: Chisholm, Bunton |
4:04 |
8. | "Denying" Watunzi: V. Beckham, M. Brown, E. Bunton, M. Chisholm, G. Halliwell, A. Watkins, P. Wilson Watayarishaji: Andy Watkins, Paul Wilson Waimbaji Wakuu: Chisholm, Bunton, Beckham, Brown, Halliwell |
3:46 |
9. | "Viva Forever" Watunzi: M. Rowe, V. Beckham, M. Brown, E. Bunton, M. Chisholm, G. Halliwell, R. Stannard Watayarishaji: Richard Stannard, Matt Rowe Waimbaji Wakuu: Bunton, Brown, Chisholm, Beckham |
5:09 |
10. | "The Lady Is A Vamp" Watunzi: V. Beckham, M. Brown, E. Bunton, M. Chisholm, G. Halliwell, A. Watkins, P. Wilson Watayarishaji: Andy Watkins, Paul Wilson Waimbaji Wakuu: Halliwell, Beckham, Chisholm, Brown, Bunton |
3:09 |
Matunukio, vilele, na mauzo
[hariri | hariri chanzo]Chati[2][3] | Kilele | Matunukio | Mauzo[4] | |
---|---|---|---|---|
America | ||||
Argentina | 1 | 2× Platinum | 80,000 | |
Brazil | 1 | Platinum[5] | 250,000 | |
Chile | 1 | 2× Platinum | 50,000 | |
Canada | 2 | 10× Platinum (Diamond)[6] | 1 million[7] | |
Mexico | Gold[8] | 100,000[9] | ||
United States | 3 (3 Week) | 4× Platinum[10] | 4.1 million[11] | |
Asia | ||||
Japan | 2× Platinum[12] | 400,000[13] | ||
Hong Kong | Platinum | 15,000 | ||
Europe | ||||
Europe | 1 | 5× Platinum[14] | 5 million[14] | |
Austria | 1 (1 Week) | Platinum[15] | 50,000 | |
Belgium | 2× Platinum[16] | 100,000 | ||
Finland | 1 (3 Weeks) | 3× Platinum[17] | 92,000[18] | |
France | 2 (2 Weeks) | 2× Platinum[19] | 620,000[20] | |
Germany | 4 (1 weeks) | Platinum[21] | 300,000 | |
Netherlands | 1 (2 Weeks) | Platinum[22] | 100,000 | |
Norway | 1 (2 Weeks) | Platinum[23] | 40,000 | |
Poland | 2× Platinum[24] | 80,000 | ||
Spain | 2 (5 Weeks) | 3× Platinum[25] | 275,000[26] | |
Sweden | 3 (1 Week) | 2× Platinum[27] | 120,000 | |
Switzerland | 2 (2 Weeks) | 2× Platinum[28] | 100,000 | |
United Kingdom | 1 (3 Weeks) | 5× Platinum[29] | 1.5 million | |
Oceania | ||||
Australia | 2 | 6× Platinum[30] | 420,000 | |
New Zealand | 1 (1 Weeks) | 3× Platinum [31] | 45,000 |
Single
[hariri | hariri chanzo]Mwaka | Single | Chati | Nafasi |
---|---|---|---|
1997 | "Spice Up Your Life" | UK Singles Chart | #1 |
1997 | "Spice Up Your Life" | Canadian Singles Chart | #1 |
1997 | "Spice Up Your Life" | Billboard Hot 100 | #18 |
1997 | "Spice Up Your Life" | Top 40 Mainstream | #37 |
1997 | "Spice Up Your Life" | Hot Dance Music/Club Play | #4 |
1997 | "Spice Up Your Life" | Maxi-Singles Sales | #22 |
1997 | "Spice Up Your Life" | Rhythmic Top 40 | #27 |
1997 | "Too Much" | UK Singles Chart | #1 |
1997 | "Too Much" | Canadian Singles Chart | #9 |
1997 | "Too Much" | Billboard Hot 100 | #9 |
1997 | "Too Much" | Top 40 Mainstream | #21 |
1997 | "Too Much" | Hot Dance Music/Club Play | #1 |
1997 | "Too Much" | Rhythmic Top 40 | #23 |
1997 | "Too Much" | Adult Contemporary | #23 |
1998 | "Stop" | UK Singles Chart | #2 |
1998 | "Stop" | Canadian Singles Chart | #3 |
1998 | "Stop" | Billboard Hot 100 | #16 |
1998 | "Stop" | Top 40 Mainstream | #39 |
1998 | "Stop" | Hot Dance Music/Club Play | #14 |
1998 | "Stop" | Maxi-Singles Sales | #3 |
1998 | "Stop" | Adult Top 40 | #35 |
1998 | "Viva Forever" | UK Singles Chart | #1 |
1998 | "Viva Forever" | Russian Singles Chart | #1 |
1998 | "Viva Forever" | ARIA Top 50 | #2 |
2006 | "The Lady Is A Vamp" | Mexican Digital Sales Chart | #77 |
2007 | "Stop" | Russian Singles Chart | #12 |
2007 | "Stop" | UK Singles Chart | #78 |
Tanbihi na marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ The Times. Sinclair, David.The Prefab Five are back. Are you ready? Archived 30 Agosti 2008 at the Wayback Machine.. quote: "Their first two albums, Spice and Spiceworld, each sold more than 23 million copies." 28 Juni 2007.
- ↑ Hit Parade (1997). "European charts". hitparade.ch. Iliwekwa mnamo 2008-09-05.
- ↑ Billboard. "Billboard charts". allmusic.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-10-03. Iliwekwa mnamo 2008-12-02.
{{cite web}}
: Unknown parameter|=
ignored (help); Unknown parameter|GIRLS&sql=
ignored (help) - ↑ International Federation of the Phonographic Industry (2006). "Certification Award Levels" (PDF). ifpi.org. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2006-12-19. Iliwekwa mnamo 2008-09-05.
- ↑ "ABPD". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-09-06. Iliwekwa mnamo 2009-09-25.
- ↑ "CRIA". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-09-26. Iliwekwa mnamo 2009-09-25.
- ↑ CRIA. Sales and Certifications for Album's Spice Girls Archived 4 Oktoba 2008 at the Wayback Machine.. Canadian Recording Industry Association.
- ↑ "AMPROFON". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-10-17. Iliwekwa mnamo 2009-09-25.
- ↑ AMPROFRON. 100,000 copies, Gold Archived 12 Julai 2010 at the Wayback Machine.
- ↑ "RIAA". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-07-25. Iliwekwa mnamo 2009-09-25.
- ↑ Ask Billboard July 2007
- ↑ "Recording Industry Association of Japan". Recording Industry Association of Japan. Iliwekwa mnamo 2008-06-06.
- ↑ Sales Japan
- ↑ 14.0 14.1 IFPI. Sales Certifications European Archived 5 Februari 2010 at the Wayback Machine.. Spiceworld 5 millions sold. International Federation of the Phonographic Industry.
- ↑ "IFPI Austria". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-07-06. Iliwekwa mnamo 2009-09-25.
- ↑ Belgian Certifications
- ↑ "IFPI Finland". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-10-17. Iliwekwa mnamo 2009-09-25.
- ↑ "Finnish Sales". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-12-01. Iliwekwa mnamo 2009-09-25.
- ↑ "Disque En France". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-09-27. Iliwekwa mnamo 2009-09-25.
- ↑ French Sales
- ↑ "IFPI Germany". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-09-27. Iliwekwa mnamo 2009-09-25.
- ↑ "NVPI". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-01-13. Iliwekwa mnamo 2009-09-25.
- ↑ "IFPI Norway". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-01-18. Iliwekwa mnamo 2009-09-25.
- ↑ "ZPAV". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-05-25. Iliwekwa mnamo 2009-09-25.
{{cite web}}
: Unknown parameter|=
ignored (help); Unknown parameter|https://web.archive.org/web/20080525174705/http://www.zpav.pl/plyty.asp?page=
ignored (help) - ↑ Spanish Gold & Platinum Certification Database Archived 18 Desemba 2009 at the Wayback Machine.. Spiceworld 3x Platinum certification.
- ↑ "Spiceheart.Com // Tu Punto De Referencia Spice". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-04-16. Iliwekwa mnamo 2009-09-25.
- ↑ "IFPI Sweden" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2012-05-21. Iliwekwa mnamo 2009-09-25.
- ↑ IFPI Switzerland
- ↑ "BPI". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-12-20. Iliwekwa mnamo 2009-09-25.
- ↑ ARIA
- ↑ "RIANZ - February 7th, 1999". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-06-21. Iliwekwa mnamo 2009-09-25.
{{cite web}}
: Unknown parameter|=
ignored (help); Unknown parameter|https://www.webcitation.org/5wChHAS9r?url=
ignored (help)
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Spiceworld kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |