Nenda kwa yaliyomo

Victoria Beckham

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Victoria Beckham

Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa Victoria Caroline Adams
Amezaliwa 17 Aprili 1974 (1974-04-17) (umri 50)
Goffs Oak, Hertfordshire, Uingereza
Aina ya muziki Pop
Kazi yake Mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, msanifu wa mavazi, mfanyabiashara
Miaka ya kazi 1994-mpaka sasa
Studio Virgin, 19, Telstar
Ame/Wameshirikiana na Spice Girls


Victoria Caroline Beckham (amezaliwa 17 Aprili 1974) ni mwimbaji na msanifu mavazi kutoka nchini Uingereza. Anafahamika sana kwa kuwa mmoja kati ya wanakundi la wasichana waimbao muziki wa pop la Spice Girls. Pia, anafahamika zaidi kwa vile kaolewa na mchezaji mashuhuri wa soka ya kulipwa huko Uingereza - David Beckham.

Jina lake la utani ni Posh Spice, kwa sababu anapenda kuvaa nguo zinazompendezesha.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Makala hii kuhusu mwanamuziki wa Uingereza bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Victoria Beckham kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.