Wannabe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“Wannabe”
“Wannabe” cover
Single ya Spice Girls
kutoka katika albamu ya Spice
B-side "Bumper to Bumper"
Imetolewa 26 Juni 1996 (Japan)
8 Julai 1996 (UK)
26 Agosti 1996 (Australia)
14 Januari 1997 (U.S.)
Muundo Vinyl record (12"),
cassette, CD single
Imerekodiwa 1995
Aina Dance pop, teen pop, bubblegum pop
Urefu 2:52 (toleo la albamu)
4:11 (Muziki wa Video)
Studio Virgin Records
Mtunzi Matt Rowe
Richard Stannard
Spice Girls
Mtayarishaji Matt Rowe
Richard Stannard
Mwenendo wa single za Spice Girls
"Wannabe"
(1996)
"Say You'll Be There"
(1996)
Makasha Badala
Kasha la CD la Kijapani
Kasha la CD la Kijapani
Kasha la CD la US
Kasha la CD la US

"Wannabe" ni wimbo wa kundi la muziki wa pop la Kiingereza la Spice Girls. Ulitolewa ukiwa kama single ya kwanza, na unafikirika kama ndiyo wimbo ambao ndiyo alama yao.[1] Wimbo huu umetungwa na Spice Girls wenyewe, Richard Stannard na Matt Rowe kwa ajili ya albamu yao ya kwanza ya Spice.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Kingsley, Madeleine. "'(au nom de Geri)'" Archived 31 Oktoba 2007 at the Wayback Machine.. Hello! Magazine. Machi 2007. Retrieved 3 Novemba 2007.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]


Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wannabe kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.