Tajikistan : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 172 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q863 (translate me)
No edit summary
Mstari 15: Mstari 15:
|government_type = Jamhuri
|government_type = Jamhuri
|leader_titles = [[Rais wa Tajikistan|Rais]]<br /> [[Waziri Mkuu wa Tajikistan|Waziri Mkuu]]
|leader_titles = [[Rais wa Tajikistan|Rais]]<br /> [[Waziri Mkuu wa Tajikistan|Waziri Mkuu]]
|leader_names =[[Emomali Rahmonov]]<br />[[Okil Okilov]]
|leader_names =[[Emomali Rahmonov]]<br />[[Kokhir Rasulzoda]]
|area_rank = ya 95
|area_rank = ya 98
|area_magnitude = 1 E11
|area_magnitude = 1 E11
|area=143,100
|area=143,100
|areami²= 55,251
|areami²= 55,251
|percent_water = 0.3
|percent_water = 1.8
|population_estimate =6,507,000 <sup>1</sup>
|population_estimate = 8,610,000 <sup>1</sup>
|population_estimate_rank = ya 100 <sup>1</sup>
|population_estimate_rank = ya 98 <sup>1</sup>
|population_estimate_year =Julai 2005
|population_estimate_year = Julai 2015
|population_census = 6,127,000
|population_census = 7 564 500
|population_census_year = 2000
|population_census_year = 2010
|population_density =45
|population_density = 48.6
|population_densitymi² = 117
|population_densitymi² = 125.8
|population_density_rank = ya 151
|population_density_rank = ya 155
|GDP_PPP = $8.802 billion <!--IMF-->
|GDP_PPP = $8.802 billion <!--IMF-->
|GDP_PPP_rank = ya 139
|GDP_PPP_rank = ya 139
Mstari 52: Mstari 52:
|footnotes = 1.) Rank based on U.N. 2005 figures. Estimate based on CIA figures for 2006.
|footnotes = 1.) Rank based on U.N. 2005 figures. Estimate based on CIA figures for 2006.
}}
}}
'''Tajikistan''' ni nchi ndogo ya [[Asia ya Kati]].
'''Tajikistan''' ni nchi ndogo ya [[Asia ya Kati]] ambayo haina [[pwani]] kwenye [[bahari]] yoyote.
[[Picha:Ti-map.gif|thumb|left|300px|Ramani ya Tajikistan]]
[[Picha:Ti-map.gif|thumb|left|300px|Ramani ya Tajikistan]]
Imepakana na [[Uchina]], [[Afghanistan]],[[Uzbekistan]] na [[Kyrgyzstan]]. Tajikistan haina pwani na bahari yoyote.
Imepakana na [[Uchina]], [[Afghanistan]], [[Uzbekistan]] na [[Kyrgyzstan]].


Eneo lake ni 143,100&nbsp;km². Idadi ya wakazi ni milioni 6,5.
Eneo lake ni [[km²]] 143,100.
[[Idadi]] ya wakazi ni [[milioni]] 8.6.
==Jiografia==
Sehemu kubwa ya nchi ni [[milima ya Pamir]] yenye kimo kati ya 3600 hadi 4400 m.
Sehemu kubwa ya nchi ni [[milima ya Pamir]] yenye [[kimo]] kati ya [[mita]] 3600 na 4400.


== Historia ==
== Historia ==
Kihistoria maeneo ya Tajikistan yalitawaliwa na madola mbalimbali, hasa na [[Uajemi]].
Kihistoria maeneo ya Tajikistan yalitawaliwa na ma[[dola]] mbalimbali, hasa na [[Uajemi]].


[[Uislamu]] ulifika hapa mnamo mwaka 800 [[BK]].
[[Uislamu]] ulifika huko mnamo [[mwaka]] [[800]] [[BK]].


Mwaka [[1868]] Tajikistan ilivamiwa na [[Urusi]] na kuwa sehemu ya [[Dola la Urusi]] na sehemu ya [[Umoja wa Kisovyet]] baada ya mapinduzi ya [[1917]]. Iliitwa Jamhuri ya Kisovyet ya Kisoshialist ya Tajikistan.
Mwaka [[1868]] Tajikistan ilivamiwa na [[Urusi]] na kuwa sehemu ya [[Dola la Urusi]], halafu sehemu ya [[Umoja wa Kisovyet]] baada ya [[mapinduzi]] ya [[1917]]. Iliitwa Jamhuri ya Kisovyet ya Kisoshalisti ya Tajikistan.
[[Picha:Duschanbe Bahnhof.jpg|thumb|left|Dushanbe kituo cha [[reli]]]].
[[Picha:Duschanbe Bahnhof.jpg|thumb|left|Dushanbeː kituo cha [[reli]].]].
Baada ya kuporomoka kwa Umoja wa Kisoviet Tajikistan ilipata uhuru wake mwaka 1991.
Baada ya kuporomoka kwa Umoja wa Kisoviet, Tajikistan ilipata [[uhuru]] wake mwaka [[1991]].


Kati ya [[1992]] hadi [[1997]] kulikuwa na vita ya wenyewe kwa wenyewe iliyokwisha kwa kuunda serikali ya umoja wa kitaifa.
Kati ya mwaka [[1992]] hadi [[1997]] kulikuwa na [[vita ya wenyewe kwa wenyewe]] ambayo ilisababisha [[Warusi]] wengi kuondoka na ilikwisha kwa kuunda [[serikali ya umoja wa kitaifa]].


Baada ya mashambulio ya kigaidi ya [[11 Septemba]] [[2001]] jeshi la Marekani lilipata nafasi ya kutumia vituo vya kijeshi kwa ajili ya vita katika Afghanistan.
Baada ya mashambulio ya [[ugaidi|kigaidi]] ya tarehe [[11 Septemba]] [[2001]] [[jeshi]] la Marekani lilipata nafasi ya kutumia vituo vya kijeshi kwa ajili ya [[vita]] katika Afghanistan.

{{mbegu-jio-Asia}}
==Watu==
Wakazi wengi ni [[Watajiki]] na kuongea [[Kitajiki]] (84.3%), [[lugha]] ambayo inahusiana na [[Kiajemi]]. Ndiyo [[lugha rasmi]] na ya kawaida. [[Kabila]] linalofuata kwa ukubwa ni [[Wauzbeki]] (13.8%).

Wananchi wengi ni [[Waislamu]] (98%), hasa [[Wasuni]], na ndiyo [[dini rasmi]] tangu mwaka [[2009]]. Washia ni 3%.

==Viungo vya nje==
{{Sister project links|voy=Tajikistan}}
* [http://ucblibraries.colorado.edu/govpubs/for/tajikistan.htm Tajikistan] at ''UCB Libraries GovPubs''
* {{CIA World Factbook link|ti|Tajikistan}}
* {{dmoz|Regional/Asia/Tajikistan}}
* [http://www.bbc.co.uk/news/world-asia-16201032 Tajikistan profile] from the [[BBC News]]
* {{wikiatlas|Tajikistan}}
* [http://www.ifs.du.edu/ifs/frm_CountryProfile.aspx?Country=TJ Key Development Forecasts for Tajikistan] from [[International Futures]]


{{Asia}}
{{Asia}}
{{mbegu-jio-Asia}}


[[Jamii:Tajikistan| ]]
[[Jamii:Tajikistan| ]]

Pitio la 08:23, 2 Novemba 2015

Tajikistan

Tajikistan ni nchi ndogo ya Asia ya Kati ambayo haina pwani kwenye bahari yoyote.

Ramani ya Tajikistan

Imepakana na Uchina, Afghanistan, Uzbekistan na Kyrgyzstan.

Eneo lake ni km² 143,100.

Idadi ya wakazi ni milioni 8.6.

Jiografia

Sehemu kubwa ya nchi ni milima ya Pamir yenye kimo kati ya mita 3600 na 4400.

Historia

Kihistoria maeneo ya Tajikistan yalitawaliwa na madola mbalimbali, hasa na Uajemi.

Uislamu ulifika huko mnamo mwaka 800 BK.

Mwaka 1868 Tajikistan ilivamiwa na Urusi na kuwa sehemu ya Dola la Urusi, halafu sehemu ya Umoja wa Kisovyet baada ya mapinduzi ya 1917. Iliitwa Jamhuri ya Kisovyet ya Kisoshalisti ya Tajikistan.

Dushanbeː kituo cha reli.

.

Baada ya kuporomoka kwa Umoja wa Kisoviet, Tajikistan ilipata uhuru wake mwaka 1991.

Kati ya mwaka 1992 hadi 1997 kulikuwa na vita ya wenyewe kwa wenyewe ambayo ilisababisha Warusi wengi kuondoka na ilikwisha kwa kuunda serikali ya umoja wa kitaifa.

Baada ya mashambulio ya kigaidi ya tarehe 11 Septemba 2001 jeshi la Marekani lilipata nafasi ya kutumia vituo vya kijeshi kwa ajili ya vita katika Afghanistan.

Watu

Wakazi wengi ni Watajiki na kuongea Kitajiki (84.3%), lugha ambayo inahusiana na Kiajemi. Ndiyo lugha rasmi na ya kawaida. Kabila linalofuata kwa ukubwa ni Wauzbeki (13.8%).

Wananchi wengi ni Waislamu (98%), hasa Wasuni, na ndiyo dini rasmi tangu mwaka 2009. Washia ni 3%.

Viungo vya nje

Nchi na maeneo ya Asia

Afghanistan | Armenia2 | Azerbaijan | Bahrain | Bangladesh | Bhutan | Brunei | China | Falme za Kiarabu | Georgia2 | Hong Kong3 | Indonesia | Iraq | Israel | Jamhuri ya China (Taiwan) | Japani | Kamboja | Kazakhstan | Kirgizia | Korea Kaskazini | Korea Kusini | Kupro2 | Kuwait | Laos | Lebanoni | Macau3 | Malaysia | Maldivi | Mongolia | Myanmar | Nepal | Omani | Pakistan | Palestina | Qatar | Saudia | Singapuri | Sri Lanka | Syria | Tajikistan | Timor ya Mashariki | Turkmenistan | Uajemi | Ufilipino | Uhindi | Urusi1 | Uthai | Uturuki1 | Uzbekistan | Vietnam | Yemen | Yordani

1. Nchi ina maeneo katika Asia na Ulaya. 2. Nchi iko Asia lakini inahesabiwa pia kati ya nchi za Ulaya kwa sababu za historia au utamaduni. 3. Eneo la pekee la China.


Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Tajikistan kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.