Kanisa la Wakaldayo : Tofauti kati ya masahihisho
d r2.7.1) (Roboti: Imeongeza la:Ecclesia Chaldaeorum Catholica |
d Minor fix using AWB |
||
Mstari 8: | Mstari 8: | ||
|title=The Eastern Catholic Churches 2010 |
|title=The Eastern Catholic Churches 2010 |
||
|publisher=Catholic Near East Welfare Association |
|publisher=Catholic Near East Welfare Association |
||
|accessdate= |
|accessdate=Desemba 2010}} Information sourced from ''Annuario Pontificio'' 2010 edition</ref> <ref name=cnewa.org>[http://www.cnewa.org/ecc-bodypg-us.aspx?eccpageID=59&IndexView=toc CNEWA - Chaldean Catholic Church]</ref>, wengi wao wakiwa wenyeji wa [[Mesopotamia]]. |
||
==Historia== |
==Historia== |
||
Kanisa hilo linachanga [[historia]] moja na [[Kanisa la Asiria]] hasa hadi mwaka [[1552]], lilipotokea [[farakano]] kati yao, huku waliojiita Wakaldayo wakiungana na [[Kanisa Katoliki]] kama walivyotangulia kufanya wenzao kadhaa wa [[Cyprus]] mwaka [[1445]]<ref>Council of Florence, ''Bull of union with the Chaldeans and the Maronites of Cyprus'' Session 14, 7 |
Kanisa hilo linachanga [[historia]] moja na [[Kanisa la Asiria]] hasa hadi mwaka [[1552]], lilipotokea [[farakano]] kati yao, huku waliojiita Wakaldayo wakiungana na [[Kanisa Katoliki]] kama walivyotangulia kufanya wenzao kadhaa wa [[Cyprus]] mwaka [[1445]]<ref>Council of Florence, ''Bull of union with the Chaldeans and the Maronites of Cyprus'' Session 14, 7 Agosti 1445 [http://www.papalencyclicals.net/Councils/ecum17.htm]</ref> |
||
== Muundo == |
== Muundo == |
||
Mstari 19: | Mstari 19: | ||
==Tanbihi== |
==Tanbihi== |
||
{{ |
{{Marejeo|2}} |
||
==Viungo vya nje== |
==Viungo vya nje== |
Pitio la 19:13, 13 Februari 2013
Kanisa Katoliki la Wakaldayo (kwa Kiaramu ܥܕܬܐ ܟܠܕܝܬܐ ܩܬܘܠܝܩܝܬܐ , ʿītha kaldetha qāthuliqetha) ni mojawapo kati ya Makanisa Katoliki ya Mashariki, likifuata mapokeo ya Mesopotamia[1].
Idadi ya waamini leo ni kati ya 500,000 na 1,000,000[2] [3], wengi wao wakiwa wenyeji wa Mesopotamia.
Historia
Kanisa hilo linachanga historia moja na Kanisa la Asiria hasa hadi mwaka 1552, lilipotokea farakano kati yao, huku waliojiita Wakaldayo wakiungana na Kanisa Katoliki kama walivyotangulia kufanya wenzao kadhaa wa Cyprus mwaka 1445[4]
Muundo
Kanisa hilo linaongozwa na Patriarki wa Babuloni, kwa sasa kardinali Mar Emmanuel III Delly, anayeishi Baghdad, Iraki.[5]
Chini yake kuna majimbo kati nchi hiyo, nyingine za Mashariki ya Kati na kwenye mtawanyiko uliotokana na waamini kuhama kwa sababu ya hali ngumu hasa ya vita na dhuluma: Iran, Siria, Uturuki, Lebanon, Misri, Kanada, Marekani, Australia na New Zealand n.k.
Tanbihi
- ↑ "TQ & A on the Reformed Chaldean Mass". Iliwekwa mnamo 2009-02-07.
- ↑ Ronald Roberson. "The Eastern Catholic Churches 2010". Catholic Near East Welfare Association. Iliwekwa mnamo Desemba 2010. Information sourced from Annuario Pontificio 2010 edition
- ↑ CNEWA - Chaldean Catholic Church
- ↑ Council of Florence, Bull of union with the Chaldeans and the Maronites of Cyprus Session 14, 7 Agosti 1445 [1]
- ↑ AP
Viungo vya nje
- Chaldean Catholic Church Mass Times
- Chaldean Catholic Church - from the website of the Catholic Near East Welfare Association.
- Chaldean Catholic Diocese of Saint Peter
- Catholic Churches (In German)
- East Syrian Rite (Catholic Encyclopedia)
- History of the Chaldean Church
- Qambel Maran- Syriac chants from South India- a review and liturgical music tradition of Syriac Christians revisited
- St Pauls Chaldean Assyrian church
- [2]
- [3]
- [4]
- [5]
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kanisa la Wakaldayo kama historia yake, matokeo au athari zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |